Mbona Malechela alifanyaga kweli?Duh
Sidhani yule sasa anastaafu Siasa!
Keshaishiwa huyo hakuna anayewesa kumchagua.Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Sasa unamlinganisha Malecela na Lukuvi?Mbona Malechela alifanyaga kweli?
Usim-under-estimate asee!Hana ushawishi kiasi hicho.
Lukuvi noumaaa sana amebakia kuwa mTISS hatariiiiii!Sasa unamlinganisha Malecela na Lukuvi?
Apambane na akina Sosopi tuLukuvi noumaaa sana amebakia kuwa mTISS hatariiiiii!
Tunakiombea kiti kiendelee kupata mtu sahihi kama Mungu anavyotakaAmekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Kura za ndani ninampa mama, kura za uchaguzi mkuu nitampa mwingine iwapo kama hawatampitisha mama!Kwanini kura yako hapati mkuu
Very smart , nitampa kura yangu na tutampigania .Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!