nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Endeleeni kuomba mikopo ya kujengea madarasa na vyoo.Kura za ndani ninampa mama, kura za uchaguzi mkuu nitampa mwingine iwapo kama hawatampitisha mama!
taraibu za ccm kumpata mgombea wake wa kiti cha urais inajulikana sasa haya unayoaandika umeyatoa wapi.Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Is there any problem with that?Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Nyani haoni kundule, wewe usiye zumari weka ID yako halisi ujulikane. Eti nangu nyau halafu unawatukana angalau wanaojulikana kwa uwazi....ajitoe CCM aanzishe tu chama chake mapema aingie kilingeni, hawa CDM ndio lilikuwa kimbilio kumbe nao ni wapiga zumari tu...
Nyani haoni kundule, wewe usiye zumari weka ID yako halisi ujulikane. Eti nangu nyau halafu unawatukana angalau wanaojulikana kwa uwazi....
If that is the case then stop despising your fellow fighters! Wacha akina Lema, Lisu and the like waseme maana wao wako wazi wamejitolea maisha yao. Lakini mimi na wewe tuseme kiasi! Maana tu waoga!"Retired" hii bila shaka sio ID ya kificho.
Hata wao wapo humu wana ID za vificho na ambazo ni real kama ambavyo hata mimi nilivyonazo moja fake na moja real.
Kuwa na fake ID ni suala langu binafsi kwa sababu zangu binafsi kama wewe unavyotumia fake ID pia.
Siasa haziko JF tu humu, siasa zipo mpaka majukwaani huko, ninaweza kuwa mstari wambele majukwaani kupambania ukombozi.
Yaani kabisa unajinadi kuwa na ID mbili!?"Retired" hii bila shaka sio ID ya kificho.
Hata wao wapo humu wana ID za vificho na ambazo ni real kama ambavyo hata mimi nilivyonazo moja fake na moja real.
Kuwa na fake ID ni suala langu binafsi kwa sababu zangu binafsi kama wewe unavyotumia fake ID pia.
Siasa haziko JF tu humu, siasa zipo mpaka majukwaani huko, ninaweza kuwa mstari wambele majukwaani kupambania ukombozi.
If that is the case then stop despising your fellow fighters! Wacha akina Lema, Lisu and the like waseme maana wao wako wazi wamejitolea maisha yao. Lakini mimi na wewe tuseme kiasi! Maana tu waoga!
Yaani kabisa unajinadi kuwa na ID mbili!?
Kweli JF imevamiwa na kizazi cha "kitabu cha uso".
Wewe umepagawa nini? Lini Iringa wamewahi kuwa machawa? Huu ndiyo mkoa mmojawapo wenye upinzani mkubwa tangu zama hizoWatu wa kusini wachangamke na wao kazi kuwa machawa tuu , wataishia kuwa mitoilet paper , Lukuvi ndo kete yao pekee iliyo na nguvu sana , tatizo yamekuwa michawa ya watu wa Pwani , tabu kabisa.... Utashangaa hata support hapewi, duniani hapa kula na wa kwenu full stop , huoni twiga wanapelekwa Kwa mjomba Omani daily , fukuza Loliondo wote wajomba wawekeze ..
Sasa wewe umejuaje kama hawakualiki huko?Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Hakubaliki na nani?Mwaguto ndauli, umetumwa upime maji? Lukuvi kina kirefu hakubaliki
Sio wagumu kuelewa, hivyo ndio ilitakiwa kufanyika, watoe fomu wanachama wachukue apatikane mgombea wa urais 2025,Lukuvi anayo haki ya kufanya hivyo. Lakini ndani ya ccm si wanapeana miaka 10. Kama ndivyo basi mheshimiwa mama atagombea 2025. Vinginevyo labda wale WAGUMU wa kuelewa wanaosema mama anamalizia utawala wa awamu ya tano kikatiba, na baada ya hapo utaitishwa uchaguzi ndani ya chama kumchagua mgombea atakayewakilisha chama 2023 na kumpata raisi wa kuchaguliwa wa awamu ya 6.
Komaeni na upinzani hewaWewe umepagawa nini? Lini Iringa wamewahi kuwa machawa? Huu ndiyo mkoa mmojawapo wenye upinzani mkubwa tangu zama hizo
Asante mkuu kwa kunirekebisha.Sio wagumu kuelewa, hivyo ndio ilitakiwa kufanyika, watoe fomu wanachama wachukue apatikane mgombea wa urais 2025,
Kama watamchagua Samia agombee itakuwa sawa, wanaweza kumpitisha Lukuvi, Kabugi, au hata Lusinde na Msukuma,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
hamuwez sosopi labda aibe kuraApambane na akina Sosopi tu