Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Kesha kufa kisiasa huyo.
 
Sawasawa kama ni kweli.Kila mtu huwa na ndoto zake.Mipango huanza kabla ya matumizi.Achunge wakora wasimlie mapesa yake tu.Kila penye changamoto kuna watu hupata fursa.
Ana miradi mizuri kama vile ng'ombe wa maziwa. Akipiga teke ndoo maziwa unajua kesho utamkamua tena.
Real estate ni bonge la project. Unaweza ukala hela yote leo, kesho ikazaliwa pesa nyingine.
 
Mimi huyu mzee nitampa. Ni mnyoofu katika matendo na maamuzi yake. Halafu huyu mzee sio mkurupukaji katika maamuzi yake.

Amepewa wizara ya ardhi ikaanza kunyooka migogoro yote ilianza kutatuliwa na haki zikapatikana. Kulikuwa na migogoro ina miaka na miaka kama ule wa jengo la SH amon pale kariakoo, ambao ulikuwapo tokea enzi la mkwere ila tokea mzee huyu kaingia ule mgogoro ulisikilizwa upya hadi ubadhirifu wake ukajulikana na ukatatulika na msala ukaisha.
 

Iringa ni kusini?
Mkapa alitoka kusini unataka wachangamke kivipi?
 
Ni haki yake ya kikatiba
 
Acha siasa za ukabila na ukanda
 
CCM hata nikigombea mimi uraisi msinipe kura nitawabadilika tu tiketi ya chama kile kinadhambi ya kutesa watanzania mungu kakipa laana ya milele
 
Huyu Lukuvi si ndiye aliopanda jukwaa la kanisani akawaponda wa Zanzibari na Uislam?

Mwenyezi Mungu hafanyiwi utani, haikupita muda Mzanzibari akaoa binti yake, haikupita muda, Mzanzibari Muislam akawa Rais (Boss wake).

Subhanna Allah.
 
Watu wanajua jishushia eshima sana, lukuvi uyu ndo awe no 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…