Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

Mtoto Ni baraka wanasema, lakn ingependeza Kama angejipanga..kazi kulea
 
Itoshe sasa Mondi atengeneze familia ya kueleweka. Asiishie kufurahia mafanikio na kula kila anachokutana nacho, ajivunie mafanikio pamoja na familia imara inayoeleweka
 
She is not exceptional..mademu kama hawa wapo kibao tu mitaani..yaani sijaona point ya jamaa kuuvaa U-diamond ili aweze kupiga hapo.
Hapo kamaanisha ule Diamond wa mfukoni mkuu
 
Raha ya mwanamke uitwe mama...hayo mengine majaliwa.
Zaa Karen
Kikubwa uwe umejiandaa kulea tu, sio unazaa halafu bado unautaka usichana kutwa kwenye clubs na bar. ...mtoto hujui kashindaje au amekula nini.
Ukijua kuzaa ujue kulea pia.
 
Baba hana akili badala mtoto afanye kazi yeye kamruhusu afanye mziki..huwezi lima miwa ukavuna mahindi
 
Si tulikubaliana baada ya tanasha ni mimi sasa imekuaje? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kudadeki jamaa zangu eeh tutafute hela ili nasi tuje tugombaniwe kama hivi 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…