Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Diamond Empire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upoooooo🤔🤔🤔Guys lets stop being judgemental.
Hatujui ukweli bado
Umekosa jambo la maana la kuandika. Unaandika umbeya tu
Duu yani haka katoto jamaani! Kana enda kuwa single mother hivihivi aisee
Umechelewa blaza tafuta pori jingineHaka katoto mi mwenyewe nilikuwa nakamendea niweke mbegu yangu
Kwani uko kwenye makampuni makubwa hakuna wabanduaji? Wasafi nayo ni kampuni kubwa wacha wakojozwe tuAlitaka kumfanya nae awe celebrity kama akina Paula, lakini kwa umaarufu wake Gadna angemconnect kwenye makampuni makubwa kuliko huko kwenye usanii ambako mwisho wake ndo kama hivo tena
AiseeUmaarufu mzigo wa miba image mtu unatembea ila wambea wanachukua video
Mjukuu wa 2 huyoHatimaye binti kajifungua salama na GADNER Sasa kapata mjukuu
So bwana mtangazaji n babu Sasa
Halafu Wasafi TV wanaikomalia!Hii issue nadhani Diamond wamemsingizia ili mtoto wa Gadna apae
Awazalo mtu huwaBaba yake si alikuwa anataka mtoto wake apate mtu mzima mwenye uwezo basi amechemsha