Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

Umekosa jambo la maana la kuandika. Unaandika umbeya tu

Watanzania tuna kazi nyingi sana kama hii tufuatilie mimba ya huyo karen, tufuatilie mwijaku na manara, huku tujue harmonise kafanyaje mbona mwaka unakua mdogo sana
 
Hatimaye binti kajifungua salama na GADNER Sasa kapata mjukuu


So bwana mtangazaji n babu Sasa
 
Sadala mambo mengi atakuwa anasingiziwa, ila ndio hivyo ukubwa jalala.
 
Alitaka kumfanya nae awe celebrity kama akina Paula, lakini kwa umaarufu wake Gadna angemconnect kwenye makampuni makubwa kuliko huko kwenye usanii ambako mwisho wake ndo kama hivo tena
Kwani uko kwenye makampuni makubwa hakuna wabanduaji? Wasafi nayo ni kampuni kubwa wacha wakojozwe tu
 
Haya haya hayaa hayaaaaa....

Mdogomdogo tunaelekea kuujua ukweli....

Ila kwa jibu la babu mtu, kuna uwezekano wa 80% mpaka sasa kwamba Mondi bin Laden ndiye baba mtoto.....

 
Hili Gadner nalo jinga hili!
 
Nasikia pia na huyo jamaa kwenye tshet aliyovaa amewaweka sana huko calfornia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…