Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajitokeze kokote aliko atweet kiyanga yanga zaidiNo claims to the accuracy of this information are made. The information and photos presented on this site have been collected from the websites of County Sheriff's Offices or Clerk of Courts. The people featured on this site may not have been convicted of the charges or crimes listed and are presumed innocent until proven guilty. Do not rely on this site to determine factual criminal records. Contact the respective county clerk of State Attorney's Office for more information. All comments and opinions are submitted by Internet users, and in no way reflect the views or opinions of this site's operators.
DUI = Driving under the influence - Kuendesha ukiwa umelewa (hapa sasa sijui alikuwa amelewa nini)
View attachment 1169367
Manji huyu wa Florida DOB 10/14/1975 ndio Manji wa Bongo ?...in this day and age kabla ya kuamii habari inabidi kufanya due dilligence,
Dah kwenye tygo maamaeeNdio hiyo teh teh teh.
Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzimaEric Rich Mugshot | 07/21/19 Florida Arrest
Mug Shot for Eric Rich booked into the Seminole county jail. Arrested on 07/21/19 for an alleged domestic voilence.florida.arrests.org
Source of news
Yanga haina mfadhili, timu ya wananchi na wananchi wenyewe ndio sisiHuyu huyu mfadhili wa yanga au?
ila miaka kwenye DOB naona ipo different kwahio miaka hii ya leo lazima uwe Tomaso mpaka wasemaji wa Manji waseme ni yeye....kwahio hapo kwenye DOB bado kuna mashaka..., huenda wahindi wanafanana kama wachina na Wajapan...., Just Saying hii sio beyond reasonable doubtsJombaa hiyo sura mbona Manji per se.
Tofauti ni kubwa sana kati ya picha za wale "dada zetu" na hii ya manji.Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzima
Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzima
Ni kweliProbably, Fake news.