Tetesi: Inasemekana Manji kakamatwa Marekani

Tetesi: Inasemekana Manji kakamatwa Marekani

Status
Not open for further replies.
Hii
Screenshot_2019-08-01-15-50-06.jpeg
 
1564663940561.png

Manji huyu wa Florida DOB 10/14/1975 ndio Manji wa Bongo ?...in this day and age kabla ya kuamii habari inabidi kufanya due dilligence,
 
No claims to the accuracy of this information are made. The information and photos presented on this site have been collected from the websites of County Sheriff's Offices or Clerk of Courts. The people featured on this site may not have been convicted of the charges or crimes listed and are presumed innocent until proven guilty. Do not rely on this site to determine factual criminal records. Contact the respective county clerk of State Attorney's Office for more information. All comments and opinions are submitted by Internet users, and in no way reflect the views or opinions of this site's operators.
Ajitokeze kokote aliko atweet kiyanga yanga zaidi
 
Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzima
 
Attachments

  • IMG-20190801-WA0017.jpg
    IMG-20190801-WA0017.jpg
    38 KB · Views: 35
  • IMG-20190801-WA0017.jpg
    IMG-20190801-WA0017.jpg
    38 KB · Views: 36
Jombaa hiyo sura mbona Manji per se.
ila miaka kwenye DOB naona ipo different kwahio miaka hii ya leo lazima uwe Tomaso mpaka wasemaji wa Manji waseme ni yeye....kwahio hapo kwenye DOB bado kuna mashaka..., huenda wahindi wanafanana kama wachina na Wajapan...., Just Saying hii sio beyond reasonable doubts
 
Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzima
Tofauti ni kubwa sana kati ya picha za wale "dada zetu" na hii ya manji.
 
Wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake waliodai wale wanawake waliotuhumiwa kufanya ukahaba picha zao kutolewa wamedhalilishwa wameshaelewa huu utaratibu wa kutoa picha za watuhumiwa ni wa dunia nzima

Siyo kila jambo ni la kuiga duniani, tujitahidi kuifanya dunia ituige,

Mbona ushoga tunaukataa kwa nguvu zote..
 
sura yake ni kama ya teja kabisa,msongo wa mawazo
 
hii ni public record....inavo onyesha amekuwa arrested on July 29 in Seminole huku FL with
1564681004336.jpeg

1564681206414.jpeg
 
Mwishoe afariki kwa presha wamuache loh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom