Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Kwamba yeye ana mwili wa chuma hafi,, au huo ulinzi wake unatoka mbinguni na malaika,, au nyie ndo wale wale wa Israel nchi yao ukipiga bomu linadunda, dunia iko wazi now kila kitu kimejulikana, yale matango pori ya six day war sasa tushayajua.Kobaz bwana unafikir huyo ni CDF Muhonzi Kainerugaba.
Eeh sawa sawa na Jana Hezbollah nae kawagonga vizuri tu.Wenzao wanapowatafuta Hezbollah wanawatwanga sana. Si umeona mwenyewe? Wala huwa hawahangaiki kuzusha wanawagonga kisawasawa.
Vita siyo chandimu...vifo lazima, wameuliwa 4 na majeruhi wengi ila sasa shambulizi likielekezwa upande wa mgambo na Iran mtasikia kelele za kuuliwa watoto na wajawazito...sasa kama mgambo wanajificha wodini kwa wajawazito mayahudi wafanyeje sasa!Habari hizi ndio zinawapumbaza kila siku ,mnapewa taarifa za uongo alaf mnakuja kutupikia kelele
Muuaji anapofiwa hulia machozi halisi sio bandia
"Inasemekana" = Ndiyo au hapana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ila Russia nyoko Sana πππVyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa drone iliyotumika ni kutoka Russia ambayo haikuleta warning yeyote mpaka inaingia dining ya IDF na kutekeleza Mauaji hayo.
Endeleeni "kujipikilisha"Hizibollah wamepiga kwenye mshono[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sure Hiyo intelligence wao hawana itakuwa ni backup tu hiyoHapo wanasaidiwa intelligence wao kazi yao ni kuwatupia vidude tuπ€£
Hahahaha daah, nimejikuta nacheka kwa sauti.Kobaz bwana unafikir huyo ni CDF Muhonzi Kainerugaba.
Wame mchokonoa na waweza kukuta hizo vurugu za hapo mashariki ya Kati ni mchongo wake daah ina furahisha Sana Jamaa Wana umbukahawa wajinga U.S.A na israel waache kumchokoza mrusi maana ana vifaa hatari atawasaidia wapinzani wao hadi watajuta
Ni kweli 3 wamekufa lakini ni uwongo kuwa mkuu wa majeshi wa Jeshi la Israel ameuawa.Al Jazeera wamecomferm 3 wamekufa na 67 injured....
Sio mara ya Kwanza jamaa wa Israel wanapigwa ila hawa semi π
Jiongelesheni tu, hizbullah mara ngapi hurusha drone israel,kupiga picha na kurudi!?.. hizbullah wanasema huwasikiliza na kuwatazama israel toka angle ambayo israel hawezi ifikiriaππππ
Sure Hiyo intelligence wao hawana itakuwa ni backup tu hiyo
ππππNadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye π€£.
Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be βlethal, precise and surprising.β
Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya duniaπ
Kafa hajafa ,!? πArmy Chief of Staff sio Mkuu wa Majeshi Shehe. Rudi darasani
Mwenye tatizo la akili ni anayeweka taarifa anazojua ni za uongo. Umejisikiaje sasa baada ya kujua ulichopost ni porojo za msikiti wa kwa Mtoro?Sawa baba. Naomba nikukumbushe kitu una tatizo kubwa sana la kisaikolojia kufikiri kwamba Kila aliye kinyume na wewe kimtizamo kuhusu middle East affairs kwamba ni Muslim.