Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
Kobaz bwana unafikir huyo ni CDF Muhonzi Kainerugaba.
Kwamba yeye ana mwili wa chuma hafi,, au huo ulinzi wake unatoka mbinguni na malaika,, au nyie ndo wale wale wa Israel nchi yao ukipiga bomu linadunda, dunia iko wazi now kila kitu kimejulikana, yale matango pori ya six day war sasa tushayajua.
 
Habari hizi ndio zinawapumbaza kila siku ,mnapewa taarifa za uongo alaf mnakuja kutupikia kelele
Vita siyo chandimu...vifo lazima, wameuliwa 4 na majeruhi wengi ila sasa shambulizi likielekezwa upande wa mgambo na Iran mtasikia kelele za kuuliwa watoto na wajawazito...sasa kama mgambo wanajificha wodini kwa wajawazito mayahudi wafanyeje sasa!
 
Nadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye 🤣.

Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be “lethal, precise and surprising.”


Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya dunia😁
😂😂😂😂
 
Sawa baba. Naomba nikukumbushe kitu una tatizo kubwa sana la kisaikolojia kufikiri kwamba Kila aliye kinyume na wewe kimtizamo kuhusu middle East affairs kwamba ni Muslim.
Mwenye tatizo la akili ni anayeweka taarifa anazojua ni za uongo. Umejisikiaje sasa baada ya kujua ulichopost ni porojo za msikiti wa kwa Mtoro?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom