Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Good news
 
Safi sana sa tusubiri Hezbullah amle kichwa Nyau na waziri wake wa jeshi. Hizi ndio habari zinafurahisha roho safi sana bariiiiidiiii
 
Shehe mmoja kashiba ubwabwa huko kaja kuandika uzi.
20241013_221247.jpg
 
Nadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye 🤣.

Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be “lethal, precise and surprising.”

Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya dunia😁
Huyu hakuwa kwenye base hawana uhakika mleta mada na huyu mariooo

View: https://x.com/MarioNawfal/status/1845521859955069335?t=q75IhRuEMG12si3PUtp8DQ&s=19
 
Nyakati hizi mambo yame advance sana kwakweli. Watu wanaweza kuwa wana mzoom raisi wenu akienda bafuni kuoga na kurufi chumbani halafu wana mute tu. Kifupi kwa teknolojia ya leo ilivyo si ajabu ramani mnazo dhani ni za siri kumbe zipo kwenye makabati ya wataalamu nchi za watu
Hakika
 
Haitatokea hata siku moja magaidi kumuua kiongozi mwandamizi wa Israel. Israel sio Iran sio Hizbullah au Hamas
 
Washaanza kucheua huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanasema ni mrusi

Observers in Israel:

The drone that penetrated the air defense system and advanced radars was not part of Hezbollah's weapons at all.

It is of Russian manufacture and recently arrived under the cover of Russian humanitarian aid delivered to Beirut.
Na ni humanitarian aid kweli kweli kwa Walebanoni maana Mzayuni alshaazimia kuleta genocide kama ya Gaza.
 
Binadamu uki
Wakali hawana cha kupoteza zaidi ya kupigania Aridhi yao. Nabahati mbaya hawaogopi kufa.
Binadamu ukishamuulia mama baba na ndugu haoni thamani ya kuishi nae huona heri kufa,yahudi anaamini ndio wataogopa na ajue awamu hii wamepata maroketi baada ya miaka 7mbele watamiliki ndege na vifaru Leo kitakuwa pale pale kummaliza tu UN ilimshauri ardhi igawanywe amani ipatikane amekaza fuvu Kila kukicha anakata mashamba ya wapalestina na kujenga makazi yake wakirusha mawe wanaitwa magaidi muache avune ailichohitaji muda wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom