Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Inasikitisha kuona jinsi mlivyopumbazwa na uislam akili zipo kwenye masaburi.. immagine wewe ndie Sheikh wa Jf msikiti Tv
 

Attachments

  • 20240928_170945.jpg
    20240928_170945.jpg
    32.4 KB · Views: 1
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom