RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Sio fake news sema ni unconfirmed news.Hii ni fake news hakuna kitu Kama icho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio fake news sema ni unconfirmed news.Hii ni fake news hakuna kitu Kama icho
Taarifa kamili inachukua sasa Ya nasrallah ilichukua muda gani ?Pole mkuu unamaumivu makali ngoja tusubiri taarifa kamili.
Malipo ndio nini naona ushaanza kujikojolea tayari.Ila anatokea nchi takatifu 🤣Malipo unayajua lakini
Hamkawii kulia humu wanakufa wakina mama na watoto kumbe ndio shield zenu
Ilichukua zaidi ya masaa 18, mashambulizi yalifanyika jion. Taarifa rasmi ikatoka keshoyake Saa Tano asubuhi.Taarifa kamili inachukua sasa Ya nasrallah ilichukua muda gani ?
Mpumbavu huyo et arab man yani wanatafuta vya kujifariji.Mwarabu wa Israel 😃
Kakojoe kwenye alkaba ulale.Jifunze kukubali nA kuzoea habari usizopenda kabisa kusikia
We ndio rudi shule chief of staff ni mkuu wa majeshiArmy Chief of Staff sio Mkuu wa Majeshi Shehe. Rudi darasani
Inasikitisha kuona jinsi mlivyopumbazwa na uislam akili zipo kwenye masaburi.. immagine wewe ndie Sheikh wa Jf msikiti TvTaarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.
Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.
Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Masaa 18 kwenuIlichukua zaidi ya masaa 18, mashambulizi yalifanyika jion. Taarifa rasmi ikatoka keshoyake Saa Tano asubuhi.
Wa kimbiji huo rangi yake nyeusi na kilemba hapoMwarabu wa Israel 😃
Hawa ni wale wayahudi wako uarabuni wanatumia majina ya kislam
Unajifanya umesahau kilichomkuta nasra na wenzake jikazeMalipo ndio nini naona ushaanza kujikojolea tayari.
Wakati unatoa vi ramani vyako kumbe ulikua unaugulia kimya kimya😂😂😂
Kutoa taarifa nijambo Moja na kua confirmed nijambo lingine. Hata hapa wametoa taarifa kua kenge wenu kalambishwa mchanga.Masaa 18 kwenu
Osntell alitoa taarifa mapema tu kenge wenu kalambishwa mchanga 🤣
Usharudi haifa vip majeruhi hawajambo.Unajifanya umesahau kilichomkuta nasra na wenzake jikaze
Kama wewe mswahili wa kimbiji ukitumia majina ya kislamu 🤣Hawa ni wale wayahudi wako uarabuni wanatumia majina ya kislam
Ongeza glass nyingne ya alkasusKutoa taarifa nijambo Moja na kua confirmed nijambo lingine. Hata hapa wametoa taarifa kua kenge wenu kalambishwa mchanga.
Mkuu mbona makasiriko.Inasikitisha kuona jinsi mlivyopumbazwa na uislam akili zipo kwenye masaburi.. immagine wewe ndie Shikh wa Jf msikiti Tv
Kweli we kilaza taarifa ilitolewa kama inavyo tolewa ya huyo kenge wenu hapa confirmed haikua mapema.Masaa 18 kwenu
Osntell alitoa taarifa mapema tu kenge wenu kalambishwa mchanga 🤣
HawajamboUsharudi haifa vip majeruhi hawajambo.