Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha yupi uyo mliyemtimua? Na wewe unaamini upuuzi wa mtoa mada? Kaa kwa kutulia umuulize kocha akiendelea kuwepo atakupa nini mafuta tutakuazima!Ni kweli bwana kocha tumetimua
Watakuwa wamefanya jambo la msingi sana. Hakuna kocha paleKuna mtu kaninyetishia kuwa yule mjerumani mwenye jina lenye asili ya dini ya mtume ametupiwa virago pamoja na msaidizi wake.
Hilo jina lake ndilo lililompa promo kwa engineer na makamu wake na sio cv yakeKuna mtu kaninyetishia kuwa yule mjerumani mwenye jina lenye asili ya dini ya mtume ametupiwa virago pamoja na msaidizi wake.
Hee! Nimeona uzi unasema kocha kafukuzwa. Au ni uzee unanipeleka vibayaKocha yupi uyo mliyemtimua? Na wewe unaamini upuuzi wa mtoa mada? Kaa kwa kutulia umuulize kocha akiendelea kuwepo atakupa nini mafuta tutakuazima!
NaamSide Mjerumani?
Side Mnyamwezi 😂Side Mjerumani?
Nothing bad this is a masculine face
Akwende tu. Kila timu inataka ushindi.Kuna mtu kaninyetishia kuwa yule mjerumani mwenye jina lenye asili ya dini ya mtume ametupiwa virago pamoja na msaidizi wake.