Tetesi: Inasemekana mtani kafukuza kocha huko

Tetesi: Inasemekana mtani kafukuza kocha huko

Naona ni mda sasa apewe timu atatufaaa sn huyu
 

Attachments

  • FB_IMG_1733041433323.jpg
    FB_IMG_1733041433323.jpg
    63.1 KB · Views: 2
We listen but we don't judge....
Mpaka muuwane
Mpaka mvurugane kama zege...
 
Yani Yanga imetoka from Hero to Zero ndani ya muda mfupi sana...hichi ndio kipimo Halisi kwa Eng. Hersi kama ataweza kuokoa jahazi maana jamaa kichwa kilijaa hadi akaanza kutoa mafunzo namna ya kuendesha Club kama Le Professor.
Walikua wanasema wako tayar kucheza hata na malaika ..walifikia hatua ya kumtukana hadi Mungu..yani unataka kucheza na malaika wake??
 
Yani Yanga imetoka from Hero to Zero ndani ya muda mfupi sana...hichi ndio kipimo Halisi kwa Eng. Hersi kama ataweza kuokoa jahazi maana jamaa kichwa kilijaa hadi akaanza kutoa mafunzo namna ya kuendesha Club kama
Kuna mtu kaninyetishia kuwa yule mjerumani mwenye jina lenye asili ya dini ya mtume ametupiwa virago pamoja na msaidizi wake.
Nasikia boss kubwa kuna jimbo analinyatia msimu ujao sasa wanataka kumnyoosha achafuke ni tetesi pia
 
Back
Top Bottom