Tetesi: Inasemekana mtani kafukuza kocha huko

We listen but we don't judge....
Mpaka muuwane
Mpaka mvurugane kama zege...
 
Yani Yanga imetoka from Hero to Zero ndani ya muda mfupi sana...hichi ndio kipimo Halisi kwa Eng. Hersi kama ataweza kuokoa jahazi maana jamaa kichwa kilijaa hadi akaanza kutoa mafunzo namna ya kuendesha Club kama Le Professor.
Walikua wanasema wako tayar kucheza hata na malaika ..walifikia hatua ya kumtukana hadi Mungu..yani unataka kucheza na malaika wake??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…