Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Ajishushe kafanya kosa gani?Nape ajishushe! Zama zimebadilika, akivuliwa uawanachama hata akigombea tena watamchakachua.
Swali ni kweli atakuwa kafukukzwa?Ilikuwa ni porojo. Hakuna kufukuzwa maana akifukuzwa jimbo siyo lake! Chinga One jitafakari ChingaOne
Ahadi zake???? Amesahau kauli yake ya hakuna aliye maarufu kuzidi chama? Binafsi namshauri akumbuke usemi wa wahenga usemao anayemuoa mama yako anakuwa ni baba yako. Kama kuna mtu alikuwa chini yake atambue kuwa huyo sasa ni boss wake. Utii ni bora kuliko sadaka.
Sijasema aombe msamaha, vipi kiswahili kinakupiga chenga?Ajishushe kafanya kosa gani?
Nape ajishushe! Zama zimebadilika, akivuliwa uawanachama hata akigombea tena watamchakachua.
Hivi post itakufaa sana:Ajishushe kwa nani? Wananchi ndio wamempa ubunge sio Ccm.
No!Swali ni kweli atakuwa kafukukzwa?
Thubutuuu!!! Angegombea kwa tiketi TLP asingepata sio yeye tu hata magu angegombea kwa tiketi ya NRA asingetoboa.."kidumu chama cha mapinduzi"Ajishushe kwa nani? Wananchi ndio wamempa ubunge sio Ccm.
Cha ajabu sasa mara vuuuuuup Chama kinamuondoa bungeni sio wananchi.Ajishushe kwa nani? Wananchi ndio wamempa ubunge sio Ccm.