Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
tapatalk_1506180437100.jpeg
 
Jambo la msingi ni kuwa karibu na waliokuchagua,maana lichama likikufukuza unaweza kugombea kwa tiketi ya chama kingine.
 
Jambo la msingi ni kuwa karibu na waliokuchagua,maana lichama likikufukuza unaweza kugombea kwa tiketi ya chama kingine.
 
Sio yeye tu aliyefukuzwa,wamo pia wabunge wenzake watatu wa majimbo na wenyeviti wawili wa CCM kutoka kanda ya ziwa.Membe na Kikwete Mkubwa na mdogo, wameponea tundu la sindano. Kinana kasusa.
 
Hivi huko jimboni kwake ni kabila gani linaishi.
Yaani kumochoka kinoma aisee.
Jamani mkumbuke kujenga kwenu simjifunze kutoka Kaskazini mwa nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom