Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziAWeka ushahidi wa chanzo
zamani ukija jamii forumu ulikua unapata madini ya habari ila sasa hivi had wauza kahawa wamehamia humuNasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
Habari zimekuwa za hovyo sana siku hizi.. Mleta maada anaandika mistari miwili ya thread, 🤔🤔🤔🤔zamani ukija jamii forumu ulikua unapata madini ya habari ila sasa hivi had wauza kahawa wamehamia humu
zamani ukija jamii forumu ulikua unapata madini ya habari ila sasa hivi had wauza kahawa wamehamia humu
Na wewe jifunze kutoa habari ,unatoa mipasho tuu habari haina hata balancejamii forumu ndiyo nini ewe unaye jifanya mjuaji ilhali huna unalolijua!?
Sasa kama tu huelewi hata kuandika/ kutofautisha wapi uanze na herufi kubwa ama ndogo utashindwa kweli kuchangia kwa andiko lisilo na adabu?
Ukiona hufurahishwi na jambo ama andiko, puuza na si vinginevyo.
Jifunze pia kuandika.
Ona ulivyo mweupe! Masikini wa Mungu huelewi hata kutofautisha swali/ulizo na habari.Na wewe jifunze kutoa habari ,unatoa mipasho tuu habari haina hata balance
we na mim nani mweupe hii habari yako mtu mwelewa atakusuppot kweli .Alafu unataka tufundishane kiswahili wewe mbona umechapia unasema nasikia NATO wamemwambia,hivi ni NATO wamemwambia au NATO imemwambia,Ona ulivyo mweupe! Masikini wa Mungu huelewi hata kutofautisha swali/ulizo na habari.
Ndiyo maana nimekutaka uache ujuaji ilhali huna ulijualo.
(we na mim) ndiyo nini umeandika ndugu mjuaji!?we na mim nani mweupe hii habari yako mtu mwelewa atakusuppot kweli .
HAPA TUNAELIMISHANA KAMANDA....(we na mim) ndiyo nini umeandika ndugu mjuaji!?
Nimechagua kukupuuza!
Ni tetesi bint minong'ono! chanzo kinawezakuwa yeye mwenyewe.Weka ushahidi wa chanzo
Wingi wa chuma ni vyumajana na leo ukraine ime chapika haswa russia kashusha machuma ya kutosha
Ustadhi gani amemwambia hiliUkweli ni kwamba Zelensky yupo Poland mwaka wa pili huu, ukimuona Ukraine ujue anafika ili jeshi lake na wananchi waendelee kuamini kuwa yupo nao hadi mwisho, lakini kiuhalisia Safe house yake kwasasa ni Poland.