Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

Ukweli ni kwamba Zelensky yupo Poland mwaka wa pili huu, ukimuona Ukraine ujue anafika ili jeshi lake na wananchi waendelee kuamini kuwa yupo nao hadi mwisho, lakini kiuhalisia Safe house yake kwasasa ni Poland.
Sawa mke wake zelensky hatubishi
 
ZELENSKY hana mbio mshale unaendelea kugonga.
 
Ukweli ni kwamba Zelensky yupo Poland mwaka wa pili huu, ukimuona Ukraine ujue anafika ili jeshi lake na wananchi waendelee kuamini kuwa yupo nao hadi mwisho, lakini kiuhalisia Safe house yake kwasasa ni Poland.
Uwongo mkavu kabisa huu.
 
Back
Top Bottom