Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

Zele akishaliwa kichwa basi, SMO imefikia mwisho.
Hapana Dada yangu Kipindi Nifah.
Kwa kifupi na kwa ujumla Zelensky wala Hana maamuzi katika vita hii,huyo ni picha TU,mwenye maamuzi ni USA.
Kama unakumbuka mazungumzo ya amani huko uturuki yalikua yanenda vizuri na ilibaki kidogo wakubaliane kusitisha vita na Urusi ikakubali kutoa majeshi yake kyiev,akaenda Boris Johnson mpambe wa USA kuwaambia Ukraine waachane na makubaliano ni Bora vita iendelee.
UK ni mpambe wa USA.
Zelensky anapelekeshwa TU,hata wakimla kichwa USA wataweka msukule mwingine.
 
Mtu ata passport Hana ila anaandika habari za assia huko akiwa nanjilinji Kwa shemeji yake
 
Bado anashupaza shingo, asubiri mda utaongea
Hawa jamaa watammaliza wao naona maana amewadanganya na kujimilikisha utajiri
 
JF Sasa imeingia Mambo kama ya Side kama Side... Eti... nasikia Zelensi kapigiwa simu na NATO kuwa kama akitaka usalama wake ahamie Tandale kwa Mtogole au Tabata Matumbi la sivyo atadunguliwa... Umenisika vizuri Kimwaga? enh kakata simu sasa ndio nini
 
zamani ukija jamii forumu ulikua unapata madini ya habari ila sasa hivi had wauza kahawa wamehamia humu
Kwa hiyo wauza kahawa sio binaadamu wanaopaswa kujua na kuleta habari zinazoendelea duniani si ndio,, Acha dharau wewe kama umezaliwa na kukuta kwenu kuna ahueni ya maisha isiwe s
zamani ukija jamii forumu ulikua unapata madini ya habari ila sasa hivi had wauza kahawa wamehamia humu
Kwa hiyo wauza kahawa sio binaadamu wanaopaswa kujua na kuleta habari zinazoendelea duniani si ndio,, Acha dharau wewe kama umezaliwa na kukuta kwenu kuna ahueni ya maisha isiwe sababu ya kudharau kazi za watu
 
Kama hakukimbia wakati Urusi inapeleka msururu wa vifaru Kiev aje akimbie wakati huu jeshi la Ukraine limeingia ndani ya Urusi kutembeza kichapo?

Vitu vingine muwe mnajiongeza bwana mnatupa shida kuwaelekeza kitu kimoja Kila kila mara.
 
Back
Top Bottom