Francofighter
Senior Member
- Sep 1, 2016
- 122
- 61
Ni kweli kabisa...unapobana matumizi unapunguza purchasing power ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOko limeshuka sana tena sana, wenye bar / grocery na hotels ndo wanaweza kukuhakikishia hilo. Mimi ni mmoja wao, siku hizi hakuna w/end wala siku ya kawaida, ni kulenga tu kwa manati. Kwanza kitendo cha kuzipandisha bei wakati mzunguko wa pesa haupo ni janga kubwa sana, pili kuwapangia watu muda wa kupata burudani ya kilaji nalo ni tatizo kubwa tena sana.TBL watuombe radhi walevi, yani tunavyotwanga hizi pombe wao wanasema soko limeshuka!!!!!! huku ni kutudharau na kutujaribu walevi, mkawaambie hao TBL sisi walevi hatujaribiwi.
Hayo unayajua wewe, lakini engineer hajui hayo! Nafikiri ilibidi apelekwe chuo cha uongozi kwanza.Ni kweli kabisa...unapobana matumizi unapunguza purchasing power ya watu