Inasemekana TBL Mwanza kuhamishia Shughuli zake Uganda

Inasemekana TBL Mwanza kuhamishia Shughuli zake Uganda

TBL watuombe radhi walevi, yani tunavyotwanga hizi pombe wao wanasema soko limeshuka!!!!!! huku ni kutudharau na kutujaribu walevi, mkawaambie hao TBL sisi walevi hatujaribiwi.
SOko limeshuka sana tena sana, wenye bar / grocery na hotels ndo wanaweza kukuhakikishia hilo. Mimi ni mmoja wao, siku hizi hakuna w/end wala siku ya kawaida, ni kulenga tu kwa manati. Kwanza kitendo cha kuzipandisha bei wakati mzunguko wa pesa haupo ni janga kubwa sana, pili kuwapangia watu muda wa kupata burudani ya kilaji nalo ni tatizo kubwa tena sana.
 
Back
Top Bottom