Tetesi: Inasemekana TCRA wamesema Tangazo la Jaza Ujazwe linakiuka maadili

Tetesi: Inasemekana TCRA wamesema Tangazo la Jaza Ujazwe linakiuka maadili

Mkuu utapigwa ban
Nimetoka juzi kwenye ban
84a5f2ea28d2bda579018adc0050cba5.jpg
ngoja nilale
 
Kujazwa siku hizi tusi? shame on you
Sijaumelewa mleta uzi yani! Kwani waliotafsiri kivingine ni sisi wapokeaji au tigo? Mm nimefuatilia tangazo lao mwanzo mwisho hakuna sehemu tangazo lina viashiria vya ngono sasa ukitafsiri kivingine hilo ni lako na km TCRA wanataka kuzuia hilo tangazo wajipange vizuri wasijejikuta wanaishia kupelekana mahakamani. Maneno mengi tu wamejitafutia tafsiri zetu wenyewe basi tuyaondoe kwenye kiswahili.
 
Tatizo alilalamika mbunge wa CCM kibajaji bungeni.
 
JAZA UJAZWE.. DAH TIGO BHANA. TATZO HILI NENO LINATUMIKA MTAANI TANGU ZAMANI.. UTASIKI FULANI 'AMEMJAZA MIMBA MWANAFUNZI'
KWA HYO TIGO KAMA KWELI WALIKUWA WANA NIA NZURI WANGETAFUTA MANENO MENGINE.. WANGESEMA HATA "ONGEZA, TUKUONGEZEE"

Nb. Ninaamin hata aliyetunga tangazo alilenga watu watafsiri mfumo wa tusi ili kuliongezea umaarufu.
 
Wabongo muda wote ni masuala ya ngono,kusudio la tangazo la Tigo silo Wabongo wawazalo,sijajua tumeshindwa kufikiria ya Muhimu mpaka tuanze kuwaza lisilotakiwa kuwazwa ,TCRA isifanye kazi kwa mihemko ya wachache l,kuna mambo yenye tija ambayo ni kero kwa Watumiaj wa simu,kuinganishwa na huduma asiyoihitaj mteja hasa hii ya kupigiwa Mtu anasikia nyimbo badala ya muito wa kawaida,hivyo kulazimika kukatwa kias fulan kama gharama,kuanganishwa na huduma ya bahat nasibu kwa lazima na tena bila kujijua,hivyo kukulazim kuilipia kila uongezapo salio unakatwa,unaweka elfu moja salio,ukitaka kujiunga kifurush unaambiwa salio halitosh,uangaliapo salio wamekata 50/100/150 au 200 hivyo kuleta usumbufu,na uwapigiapo wanakuambia kuna huduma ulijiunga,unabak unawauliza lin?,bila majibu ya kuridhisha
 
Kazi kwenu na kujazwa kwenu na tigo, wazweni zaidi na zaidi
 
Mawazo yetu ni ngono tu hakuna kingine.
Ukiangalia vizuri hata mtu aliyebuni lile tangazo la TUSI kwa kutumia mafumbo alikuwa anawaza ngono. TCRA wamewashtukia na kuwapiga nyundo ya kichwa hadi washike adabu yao.
 
Back
Top Bottom