tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #41
Na serikali inapoosema kwamba watu WANAOWAJAZA MIMBA wanafunzi wafungwe jela miaka 30 wanatumia vibaya neno KUJAZA au unatetea nini mkuu? Watu kama nyie ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili hadi ikashindwa kutumika kama lugha ya kufundishia.Sijaumelewa mleta uzi yani! Kwani waliotafsiri kivingine ni sisi wapokeaji au tigo? Mm nimefuatilia tangazo lao mwanzo mwisho hakuna sehemu tangazo lina viashiria vya ngono sasa ukitafsiri kivingine hilo ni lako na km TCRA wanataka kuzuia hilo tangazo wajipange vizuri wasijejikuta wanaishia kupelekana mahakamani. Maneno mengi tu wamejitafutia tafsiri zetu wenyewe basi tuyaondoe kwenye kiswahili.