Na serikali inapoosema kwamba watu WANAOWAJAZA MIMBA wanafunzi wafungwe jela miaka 30 wanatumia vibaya neno KUJAZA au unatetea nini mkuu? Watu kama nyie ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili hadi ikashindwa kutumika kama lugha ya kufundishia.Sijaumelewa mleta uzi yani! Kwani waliotafsiri kivingine ni sisi wapokeaji au tigo? Mm nimefuatilia tangazo lao mwanzo mwisho hakuna sehemu tangazo lina viashiria vya ngono sasa ukitafsiri kivingine hilo ni lako na km TCRA wanataka kuzuia hilo tangazo wajipange vizuri wasijejikuta wanaishia kupelekana mahakamani. Maneno mengi tu wamejitafutia tafsiri zetu wenyewe basi tuyaondoe kwenye kiswahili.
TCRA hii inayofanya kaz kwa mihemko ya wachache au nyingine?Asa wewe unabishana na TCRA ama?
Hii ni balaa, umeona eeh?Kuna hadi mtu kafungua ID ya Jaza Ujazwe
[emoji3]Mkuu wewe unataka kujazwa? Basi njoo nikujaze.
Mkuu usitetee ukengefu. Ina maana TCRA walipoyataka makampuni ya simu yaondoe matangazo kwenye simu na kufutwa kwa tangazo hili la kichochezi wewe huoni kwamba wamefanya kazi ya maana? Acha kupinga kila kitu mkuu...TCRA wanafanya kazi nzuri ya kuwaondolea wananchi kero zilizokuwa zikiwasumbua kwa muda mrefu.TCRA hii inayofanya kaz kwa mihemko ya wachache au nyingine?
Usitetee ubatili mkuu. Mungu anakuona. Hata wabunifu wa tangazo hili walilenga kuweka TUSI ndio maana walimtumia Joti mpenda matusi ya rejareja kulitangaza. Jiongeze!Tatizo siyo tangazo, tatizo ni akili za watu zimejaa mawazo mabaya! Katika hali tangazo na tafsiri ya kawaida hakuna ubaya ndani ya maneno hayo!
Mbona wanasema hata jina lenyewe ni tusi mbona wasiwaambie wabadili jina?Asa wewe unabishana na TCRA ama?
Balaa tupu, ngoja tuone kama Tigo watalitoa hilo tangazoHii ni balaa, umeona eeh?
Staha na adabu inakosekana kwa wanaotafsiri visivyo.Ni ukweli usiopingika kuwa lugha iliyotumika kuandaa tangazo lile inakosa staha na adabu.
Basi nimenyosha mikono kwa arguments zako cjaelewa kinachofaa zaidi km unajitaji kufundishwa au kukosowela. Kwa sasa ngoja niseme unachokiwaza ndio sahihiNa serikali inapoosema kwamba watu WANAOWAJAZA MIMBA wanafunzi wafungwe jela miaka 30 wanatumia vibaya neno KUJAZA au unatetea nini mkuu? Watu kama nyie ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili hadi ikashindwa kutumika kama lugha ya kufundishia.
Kwenye kudai risiti, tusi liko wapi mkuu?Ntawaona tiGo marofa kama wakilifuta.
Mbona nyie mnasema "nunua na dai risiti"
Hamuoni kuwa mnatukana!!!!!
Ukiangalia vizuri hata mtu aliyebuni lile tangazo la TUSI kwa kutumia mafumbo alikuwa anawaza ngono. TCRA wamewashtukia na kuwapiga nyundo ya kichwa hadi washike adabu yao.