SI KWELI Inasemekana Trump alishakufa iliyopo ni clone yake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hii nayo kali
 
Hata Biden alishakufa, Hata Netanyahu alishakufa hata wewe ulishakufaa!
Hizi ni stori za kwenye kahawa tu achana nazo.
Na wewe ulikuwepo ukashuhudia kufa na kuzikwa kwao? Sio!
 
Chai.

Γ€kili za kuambiwa changanya na zako.
 
Hilo Kwa Binadamu hakuna mkuu!
 
Acha upum. .mbavu! Human cloning ni sawa sawa na kuumba binadamu, hakuna technolojia ya kufanya hivyo duniani hapa!
 
Hapo Mmekaa kumsikiliza Sheikh Itunguja ndo anawasimulia hizo habari
 
Hii ni hatar sana πŸ€”
 
Umenikumbusha yale mambo ya 2pac hajafa.
 
Au mzimu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…