Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #21
Yule ndo basi tena,tatizo lake nijeuri na ubabe ila angekua ashapona kitamboKuna juzi kati nilikutana nae pale mtaa wa Agrey aiseee kaisha, kachoka, kadumaa, kapululuka alafu kavaa miwani ya tinted yupo kama kobra