Inasemekana Tupac yuko hai,ushahidi huu hapa...

Inasemekana Tupac yuko hai,ushahidi huu hapa...

Kuna juzi kati nilikutana nae pale mtaa wa Agrey aiseee kaisha, kachoka, kadumaa, kapululuka alafu kavaa miwani ya tinted yupo kama kobra
Yule ndo basi tena,tatizo lake nijeuri na ubabe ila angekua ashapona kitambo
 
..pia hujafikiria kama chezo wanaandaa suge knight na mwanae suge j knight kibiashara wapige hela !!!...maana suge akiulizwa kama tupac amekufa kwel au la kwenye baadhi interview zake hajibu..au anajikanyaga kanyaga huyo dogo naye instagram anapost uongo tu kama kuna picha 1 a jay z siyo ya muda mrefu kapiga na (kama sijakosea faith Evans ) amekata kichwa kaweka cha tupac Mara hiyo video sijui wakati kuna watu wanafanana na tupac wako maeneo tofauti duniani ukiingia youtube ziko video zao..hata bongo na mshkaji akinyoa para unaweza sema ni tupac kabisa ..cha kushangaza zaidi huyo dogo suge j knight anasema tupac atarud Mwaka 2020...yan kamwambia yeye tu..
 
Back
Top Bottom