Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba.
Tusiacche kuiombea Tanzania ambapo imefikia watu kutojali uhai wa wengine.