Ushahidi? 😆😆..... our justice system is not justShida una ushahidi wa kuthibitisha hilo???????
Kesi ya uhaini zenji ilihitaji ushahidi!?..watu wanakuvundika kama papai,ukiiva wanakutoa watu waone ulivyopendezaShida una ushahidi wa kuthibitisha hilo???????
Drama tu hzo,hafungwi mtu hapoUshahidi? 😆😆..... our justice system is not just
Kwa hiyo huu ndo ushahidi wa uhaini...?Washitakiwe tu maana kauli za kusema Samia Must Go ni Uhaini Mkubwa sana .
Wapewe tu uhaini Ili wakiwa huko mahabusu na joto hili lijalo oktoba,wauone ujinga wao walivyochezea reconciliation ya mazaHakuna uhaini wowote!, Waziri wa sasa wa Sheria, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi ni bingwa mbobezi na mbobevu wa katiba, hataruhusu ujinga kama huo kwa nchi yetu!.
P
Tuombee iwe hivyoHakuna uhaini wowote! Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
Waziri wa sasa wa Sheria, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi ni bingwa mbobezi na mbobevu wa katiba, hataruhusu ujinga kama huo kwa nchi yetu!. Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo
Huu sasa ndio wakati wa Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?
P
Kama hao ni wahaini, je Na wale wanaosema SAMIA MITANO TENA hata kabla ya kampeni kuanza, unawaambiaje mkuu?Washitakiwe tu maana kauli za kusema Samia Must Go ni Uhaini Mkubwa sana .