Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Ni mshaka kwa mbali lau, japo kirombo nakisikia chote ika mataamshi yananishinda kidogo lau, tofauti na kimachame kibosho na kimarangu ila mpaka mwisho wa mwaka nitakijua chote, wakupe boora la mwisho lau, ila wasichanganye na dadiii.
Hahahaa ini mrombo tuendelee na lugha ya taifa maana hatutaelewana mbee😅😂😂😂😂
 
bro utanilaumu bure haya mambo yamethibitishwa na wachaga wenyewe pia umeambiwa ni siri je na wewe upo kwenye kamati ya ufundi bosi? haya mambo ni siri watu wakikushtukia wanaweza wakakuua
Mwanzo umesema umeshuhudia. Sasa unadai Wachagga wamethibitisha. Hao Wachagga ni wa sehemu gani?

Ulijuaje ni Wachagga?

Mimi kama kaka mtu niliongoza matibabu ya mdogo wangu, hata alivyofariki nikaupeleka mwili mochwari, nikasimamia msafara wa kwenda Moshi, na kumpumzisha.

Hakuna mtu alikuwa anaruhusiwa kufanya jambo bila Mimi kuwepo, na hata kule kwenye kuoshwa, baada ya kuoshwa niliitwa nikaenda kumvisha nguo kuanzia boxer hadi shati, suruali na viatu.

Kule Moshi tulikaa mbele ya jeneza lake Hadi anaingizwa kaburini mchana wa siku tuliyofika Moshi.

Hakuna mahali ambapo marehemu alikamuliwa na ama uchafu kutolewa.

Kungekuwa na hiyo Mila basi ni lazima ingefanyika na ningekuwa ninaijua.
 
Hahahaa ini mrombo tuendelee na lugha ya taifa maana hatutaelewana mbee😅😂😂😂😂
Kirombo ni kirahisi mno kama tu kimarangu na kimwika sema tu sijapata vizuri hizo herufi ila ukiongea najua vizuri mno
 
Niko interested kujua uhusiano wa vitu hivi.

Uchafu unakamuliwa kutoka kwa huyo aliyekufa ni upi , na huo uchafu una uhusiano gani na kifo ukiwekwa kwenye chakula kwa walio hai.?
 
Kula kula nyama hapana aisee. Mimi samaki na maziwa sawa.

Ila hakuna mila ya kula uchafu wa marehemu. Mtoa mada ni mpuuzi!
Unataka uishi mpaka lini mkuu? Kula nyama piga tizi , pamoja na hayo mtoa mada anabaki kuwa mpuuzi tu.
 
sio koo zote mkuu zinafanya hivyo ni zile zenye laana ya watu wao kufa
mapema na zenyewe huwezi jua mbaka uwepo kwenye kamati ya ufundi inayopunguza ukali wa laana ya mauti
 
Mimi huwa sili misibani. Kuna dini moja wanachanganya kinyesi cha marehemu Na chakula.
Wachagga nao ni vilevile kumbe?
Muda wa msosi ni muda wangu wa kupotea misibani
Iyo dini mbona hairuuusu msibani kupikwa? inakuaje sasa apo

maan kweny maandiko yao nyumba ya msiba ni MARUFUKU KUPIKWA
 
sio koo zote mkuu zinafanya hivyo ni zile zenye laana ya watu wao kufa
mapema na zenyewe huwezi jua mbaka uwepo kwenye kamati ya ufundi inayopunguza ukali wa laana ya mauti
Umetoka kusema ni kabila na sasa umebadilisha na unadai ni baadhi ya koo!.

Ok, ninaomba unitajie hizo koo zenye hiyo tabia!
 
WE
Umetoka kusema ni kabila na sasa umebadilisha na unadai ni baadhi ya koo!.

Ok, ninaomba unitajie hizo koo zenye hiyo tabia!
ELEWA HIVO KAMA UNATAKA KUFA KABLA YA WAKATI WAKO KULA HUJAKATAZWA MKUU
 
Huo n uongo na hii inatak kufanana na daw ya kuzuia kfo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…