si mbaka uende msibani ndo uone,mwanga hajulikani hadi anaseThibitisha mkuu kinyume na hapo hii ni chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si mbaka uende msibani ndo uone,mwanga hajulikani hadi anaseThibitisha mkuu kinyume na hapo hii ni chai
Unakipenda sana?Umeongelea kisusio ,umenifanya usingizi unakata sasa.
Hahahaa ini mrombo tuendelee na lugha ya taifa maana hatutaelewana mbee😅😂😂😂😂Ni mshaka kwa mbali lau, japo kirombo nakisikia chote ika mataamshi yananishinda kidogo lau, tofauti na kimachame kibosho na kimarangu ila mpaka mwisho wa mwaka nitakijua chote, wakupe boora la mwisho lau, ila wasichanganye na dadiii.
Mwanzo umesema umeshuhudia. Sasa unadai Wachagga wamethibitisha. Hao Wachagga ni wa sehemu gani?bro utanilaumu bure haya mambo yamethibitishwa na wachaga wenyewe pia umeambiwa ni siri je na wewe upo kwenye kamati ya ufundi bosi? haya mambo ni siri watu wakikushtukia wanaweza wakakuua
Kirombo ni kirahisi mno kama tu kimarangu na kimwika sema tu sijapata vizuri hizo herufi ila ukiongea najua vizuri mnoHahahaa ini mrombo tuendelee na lugha ya taifa maana hatutaelewana mbee😅😂😂😂😂
Mno mkuu , wewe umesusia uchagani tunakujua😁😁Unakipenda sana?
Kula kula nyama hapana aisee. Mimi samaki na maziwa sawa.Mno mkuu , wewe umesusia uchagani tunakujua😁😁
Unataka uishi mpaka lini mkuu? Kula nyama piga tizi , pamoja na hayo mtoa mada anabaki kuwa mpuuzi tu.Kula kula nyama hapana aisee. Mimi samaki na maziwa sawa.
Ila hakuna mila ya kula uchafu wa marehemu. Mtoa mada ni mpuuzi!
Sina hobby nazoUnataka uishi mpaka lini mkuu? Kula nyama piga tizi , pamoja na hayo mtoa mada anabaki kuwa mpuuzi tu.
aaah sawa asante kwa maelezo mkuuDini nyingine iliamua kuanzisha hiyo propaganda ili kutisha watu wasijiunge na hiyo dini,hiyo propaganda imeenea sana
Sure mkuu ,jambo la muhimu kuzingatia furaha yako.Sina hobby nazo
sio koo zote mkuu zinafanya hivyo ni zile zenye laana ya watu wao kufaMwanzo umesema umeshuhudia. Sasa unadai Wachagga wamethibitisha. Hao Wachagga ni wa sehemu gani?
Ulijuaje ni Wachagga?
Mimi kama kaka mtu niliongoza matibabu ya mdogo wangu, hata alivyofariki nikaupeleka mwili mochwari, nikasimamia msafara wa kwenda Moshi, na kumpumzisha.
Hakuna mtu alikuwa anaruhusiwa kufanya jambo bila Mimi kuwepo, na hata kule kwenye kuoshwa, baada ya kuoshwa niliitwa nikaenda kumvisha nguo kuanzia boxer hadi shati, suruali na viatu.
Kule Moshi tulikaa mbele ya jeneza lake Hadi anaingizwa kaburini mchana wa siku tuliyofika Moshi.
Hakuna mahali ambapo marehemu alikamuliwa na ama uchafu kutolewa.
Kungekuwa na hiyo Mila basi ni lazima ingefanyika na ningekuwa ninaijua.
Mambo ya Uzushi tuKuna kitu misibani niliwahi sikia kuna dini moja pia hufanya hili hasa kwenye 40
Iyo dini mbona hairuuusu msibani kupikwa? inakuaje sasa apoMimi huwa sili misibani. Kuna dini moja wanachanganya kinyesi cha marehemu Na chakula.
Wachagga nao ni vilevile kumbe?
Muda wa msosi ni muda wangu wa kupotea misibani
Umetoka kusema ni kabila na sasa umebadilisha na unadai ni baadhi ya koo!.sio koo zote mkuu zinafanya hivyo ni zile zenye laana ya watu wao kufa
mapema na zenyewe huwezi jua mbaka uwepo kwenye kamati ya ufundi inayopunguza ukali wa laana ya mauti
Kula msibani tuuuuHutuogopi ndugu😅
ELEWA HIVO KAMA UNATAKA KUFA KABLA YA WAKATI WAKO KULA HUJAKATAZWA MKUUUmetoka kusema ni kabila na sasa umebadilisha na unadai ni baadhi ya koo!.
Ok, ninaomba unitajie hizo koo zenye hiyo tabia!