Labda zamani lakn si sasa hivi tunashuhudia maiti zikipelekwa mochwari na kuchukuliwa zikizikwa tunashuhudia. Pia tunashuriki kupika chakula msibani mwanzo mwisho hatuoni jambo kama hilo.Weka ukweli wako
Chai.Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Kibaya zaidi unaeza kuta huyu mtoa post ana kikanisa chake anachowahubiria huu uongo kwa ni maono.Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Kula mama... maisha ni hayahaya....Wanavojua kupika supu, kuchoma nyama na yale machalali.....aaah waniue tu mi nakula.
Asprin nasemaje nakula mie mniue tu.
Chai ya ajabu sanaChaiii ya Motoo inachemkaaa usiunguze tu ulimi bablai😅😅🤣🤣
Si ustaarabu kula cadaver parts!wanafutikaje wakati kitu kimechemshwa/kimepikwa. ulienda shule kweli wewe? hivi kitu kikichemka wadudu hawafi?
penye ukweli semeni, though haya mambo mila nyingi zinaenda zikipotea hasa wale wanaookoka kwa kweli.
Tangu basha lako la kichaga likupige kibuti, umekuwa mkali kweli kwa hawa wanywa mbegeHii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Je unaamini.......Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Wakianza kupakua tu, unabeba zako koleo na jembe unatangulia makaburini, wao watakukuta baadae😁😁😁Mimi huwa sili misibani. Kuna dini moja wanachanganya kinyesi cha marehemu Na chakula.
Wachagga nao ni vilevile kumbe?
Muda wa msosi ni muda wangu wa kupotea misibani
Chasaka hii ior'e shindo cha mbar'e kapsa .Mburasi hii
Usuko umbore nahiyo....Nakundi senswa..
Dini nyingine iliamua kuanzisha hiyo propaganda ili kutisha watu wasijiunge na hiyo dini,hiyo propaganda imeenea sanaKuna kitu misibani niliwahi sikia kuna dini moja pia hufanya hili hasa kwenye 40
Kabsa...Chasaka walekerera shindo walaichi.....'Na shindo shilaavo..Chasaka hii ior'e shindo cha mbar'e kabsa .
Walekee tikii , iwa nyi wandu wa nukaa.Kabsa...Chasaka walekerera shindo walaichi.....'Na shindo shilaavo..
Acheni hizo, kula cadaver parts!Walekee tikii , iwa nyi wandu wa nukaa.