Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

nimekoma biashara ya kwenda kula misibani ntakuwa nasubiri wakati wa kuzika tu nitahudhuria
QUOTE="Sakizia, post: 50695202, member: 364824"]
bro i.m sure with it,kama nyie ukoo wenu hamfanyi wengine huwa wanafanya
[/QUOTE]
Taja huo ukoo unaofanya huu ujinga.
 
huo utakuwa ni ubuyu ulioanzia huko uchagani kwa kuzani kuwa sababu wao wanafanyaga hivyo basi wanahisi na wengine woote wanakamtindo hako ka kutegeshea wenzao, ni sawa sawa na mwizi hamwamini mtu anaona kila mtu mwizi,au aliyezoea kuwaloga watoto wa wenzake basi hamwamini hata siku moja kumwachia mwanae, ana imani kwamba watamfanyia yale anayoyafanya kwa watoto wa wengine
Hii ipo kwa watu wa Tanga na Moro na kuna nyuzi humu zinaeleza haya.
 
Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.

Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.

Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Du ... siiamini habari hii kwa sababu mbili.
Kwanza sijawahi kuisikia.
Pili, wakila uchafu toka kwa maiti, kama maiti ina kipindupindu au gonjwa lolote la kuambukiza, si watu watafutika kwa maelfu?
Hii si kweli.
 
Wachaga tumekushangaa sana🙄, hii kitu umeitoa wapi meku?
1718045291196.jpg
 
Baada ya kuvimbiwa naona unakuja na hoja zisizo na uthibitisho, ulichoandika ni chao tena haina sukari wala vitafunio.
Chuki ni masikini, chuki ni laana, chuki ni upofu, chuki ni ujinga, chuki ni ushirikina. Tafuta pesa kijana achana na CHUKI.
tushawzoea nyie mkiambiwa ukweli mnadai mnachukiwa ila ukweli lazima muambiwe MNATUUMIZA WENZENU jamani wema wetu ndio unaotuponza kwa kweli
 
Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.

Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.

Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
ni imani tu za kizamani ambazo hazina matokeo, unachotakiwa kuogopa hapa ni kula chakula kichafu tu, laana haisambai kama wanavyoamini.
 
Ila ufunge suruali na mpira kwa chini lolote linaweza kutokea punde si punde .
Mbege hainaga hiyo, labda kimpumu 😹

Mbege hiyo nikiendaga kwa bibi tunakunywa sana, na tuna mix na castle lager au safari
 
Mbege hainaga hiyo, labda kimpumu 😹

Mbege hiyo nikiendaga kwa bibi tunakunywa sana, na tuna mix na castle lager au safari
Dah 😋😋 ila mbege nzuri usichanganye unakunywa hata sado na nyama nyingi .
 
Back
Top Bottom