Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
💯 ndugu acha tu mji mbaya huu sanaaKatunzi alisema ndio Life yako imekwenda na maji😂
Kuna boss mmoja kila mwaka anakodisha friends 2 wanaja ndugu na majiran anaenda bukoba kufanya party kubwaaa kinachotokea vijana wanapewa kazi za kukusanya sevieti na wengine maji tu
Mwakajuzi nikaenda kiborilo nkakuta makubwaaaaaa acha mfanyabiashara mkubwa kakusanya kilimanjaro 2 kalaza ngombe 5 Michele kama kawaaaa
Kufika unanawa unashangaa maji yakijaaa yanaenda kupelekwa kwenye pipa kha hata sikuendelea kukaa nkahisi wakinikosa hapa wanapiga kwenye chskula kumbe na sevieti wanaziokota kututengeneza
Usionee ufanikiwi unafilisika sioo kila sherehe misiba ya kuhudhuria mingine .....ntarudibadae