Acha uzushi, hakuna kitu kama hichoHii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Sio kwel mkuu mtoa mada yupo na simu huku anakunywa pombe chafu, ndio chanzo.Acheni hizo, kula cadaver parts!
Ukweli upi labda huko nyumbani kwenu mkuukabila langu wakiambiwa ukweli huwa wanakasirika kweli. kuna mambo lazima tuanike, ili tuyaache, yapo mengi sana. hata suala kwamba wazazi wetu wa zamani walikuwa wanakeketwa (FGM) wengi mtabisha, dini za siku hizi na kuishi mijini ndio kumeokoa dada zetu.
basi ngoja tu ninyamaze.Ukweli upi labda huko nyumbani kwenu mkuu
Kabsa...Walekee tikii , iwa nyi wandu wa nukaa.
Wachaka nyi wandu waor'e heleri na nyi wandu waor'e maendeleo , iwa chasaka kila kindo nyi freemason tikiii 🙆Kabsa...
Wandu wa nukaa walikerara na shindo sha' Wachaka sana..
wacha kutokwa na mapovu mdomoni weeHuu uzi ufutwe
hao ni wale wanaozika hapa mjini vipi kwa wanaosafirisha vijijini? ipi kwa wasioweza ku-afford cattering?unadhani sisi ni wajinga familia chache zinaarika catering katika shughuli zaounachofanya ni ku-expose your ignorance, kwanza siku hizi vyakula vinapikwa na catering services ambao pengine siyo ata wa hilo kabila, ushamba ni mzigo sana
hongera sana bhana kwa kutusanua ukweliWanaweza mpira wa maji mdomoni , kisha wanaweza kitu kizito tumboni, kitanda cha kamba kalazwa maiti, chini kinategwa chombo, inapigwa pressure hadi nnya inachuruzikia chomboni, inaenda kuchanganywa kwenye diko la msibani, kisha wanahifadhi kiasi kingine kwa ajili ya diko la 40
nakupa poole saana broWachaga acheni ushirikina na Mila za ajabu ajabu. Kumbe mara tatu zote mnanilisha mavie ya maiti Zenu?
misiba hata 40 za watu wa moshi haifai watu kula ntahudhuria tu ila ikifika wkati wa msosi natoweka ghaflaDuh...uongo huu.
Kwahiyo ulikuwa hutaki tusanuliwe mkuu?Moderator nyuzi kama hizi zenye mambo ya kutunga na kuleta taharuki na kusambaza chuki yenye ku-target jamii fulani zinawezaje kuendelea kuwepo na mtoa nyuzi akawa salama?
wacha kutupa ma-hope wewe unadhani sisi hatujielewi? we familia wanapukutika wakiwa vijana wote wataacha kufanya mila hii ili wawagawie wenzao mauti? ukiona hawafanyi hivi ujue hiyo famili haina ile laana aka mkosi wa watu wao kufa wakiwa vijana kama kweli familia ina balaa hilo watawalisha tu mtake msitakeLabda zamani lakn si sasa hivi tunashuhudia maiti zikipelekwa mochwari na kuchukuliwa zikizikwa tunashuhudia. Pia tunashuriki kupika chakula msibani mwanzo mwisho hatuoni jambo kama hilo.
mh !!!!????Kula mama... maisha ni hayahaya....
Wengine mbona wamegeuza ndimi zao kuwa toilet paper na wala hatuwasemi....
Jitu linapiga deki kijambio utadhani linalamba asali ya peponi.....
niliyatarajia matusi kama haya kwa kusema ukweliTangu basha lako la kichaga likupige kibuti, umekuwa mkali kweli kwa hawa wanywa mbege