Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.

Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.

Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Acha uzushi, hakuna kitu kama hicho
Mzushi mkubwa
 
kabila langu wakiambiwa ukweli huwa wanakasirika kweli. kuna mambo lazima tuanike, ili tuyaache, yapo mengi sana. hata suala kwamba wazazi wetu wa zamani walikuwa wanakeketwa (FGM) wengi mtabisha, dini za siku hizi na kuishi mijini ndio kumeokoa dada zetu.
 
kabila langu wakiambiwa ukweli huwa wanakasirika kweli. kuna mambo lazima tuanike, ili tuyaache, yapo mengi sana. hata suala kwamba wazazi wetu wa zamani walikuwa wanakeketwa (FGM) wengi mtabisha, dini za siku hizi na kuishi mijini ndio kumeokoa dada zetu.
Ukweli upi labda huko nyumbani kwenu mkuu
 
unachofanya ni ku-expose your ignorance, kwanza siku hizi vyakula vinapikwa na catering services ambao pengine siyo ata wa hilo kabila, ushamba ni mzigo sana
hao ni wale wanaozika hapa mjini vipi kwa wanaosafirisha vijijini? ipi kwa wasioweza ku-afford cattering?unadhani sisi ni wajinga familia chache zinaarika catering katika shughuli zao
 
Wanaweza mpira wa maji mdomoni , kisha wanaweza kitu kizito tumboni, kitanda cha kamba kalazwa maiti, chini kinategwa chombo, inapigwa pressure hadi nnya inachuruzikia chomboni, inaenda kuchanganywa kwenye diko la msibani, kisha wanahifadhi kiasi kingine kwa ajili ya diko la 40
hongera sana bhana kwa kutusanua ukweli
 
Moderator nyuzi kama hizi zenye mambo ya kutunga na kuleta taharuki na kusambaza chuki yenye ku-target jamii fulani zinawezaje kuendelea kuwepo na mtoa nyuzi akawa salama?
Kwahiyo ulikuwa hutaki tusanuliwe mkuu?
Daily kuwasema wasukuma ni washirikina yenu mmefunika acheni ucahawi na Mila za ajabu ajabu mshindwe mkalegee na kufia mbali huko
 
Labda zamani lakn si sasa hivi tunashuhudia maiti zikipelekwa mochwari na kuchukuliwa zikizikwa tunashuhudia. Pia tunashuriki kupika chakula msibani mwanzo mwisho hatuoni jambo kama hilo.
wacha kutupa ma-hope wewe unadhani sisi hatujielewi? we familia wanapukutika wakiwa vijana wote wataacha kufanya mila hii ili wawagawie wenzao mauti? ukiona hawafanyi hivi ujue hiyo famili haina ile laana aka mkosi wa watu wao kufa wakiwa vijana kama kweli familia ina balaa hilo watawalisha tu mtake msitake
 
Kula mama... maisha ni hayahaya....

Wengine mbona wamegeuza ndimi zao kuwa toilet paper na wala hatuwasemi....

Jitu linapiga deki kijambio utadhani linalamba asali ya peponi.....
mh !!!!????
 
Back
Top Bottom