Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Huo ni uongo.

Ni wa huko, nimeona misiba ya tokea bibi zangu, babu yangu, wazazi wangu hicho kitu hakipo.

Kwa kuwa umesema, hebu eleza ulikoona hicho kitu.
 
BIG UP saana bro kwa kutuzindua God bless you tuzo yako haitapotea
 
Ukweli upi labda huko nyumbani kwenu mkuu
sasa hili nalo la kubisha kwamba wachaga hawa waliopo sasa watu wazima wenye miaka kuanzia 50 wote asilimia kubwa wamekeketwa? hujui hilo na si wachaga tu bali makabila yote ya kaskazini ndio kamchezo kao hako
 
Ila huo ukanda kuna baadhi ya familia/koo sio za kujichanganya nazo kabisa.......
 
Huo ni uongo.

Ni wa huko, nimeona misiba ya tokea bibi zangu, babu yangu, wazazi wangu hicho kitu hakipo.

Kwa kuwa umesema, hebu eleza ulikoona hicho kitu.
ina maana misiba yote hiyo we ulikuwa ndo mpishi? huwa hawaweki chote ni kiasi tu ili usiweze ku-ditect chochote na kinatosha ukila kukupunguzia umri wako
 
umeona kumbe kamanda na wewe ndio maana utakuta wengine wana roho ngumu ya kuua tu kumbe asli ni mabo haya
Napajua vizuri huko,,wana ushirikina mwingi hasa wa nyota, makafara.....ule wa 12 pia ukivamia ovyo zile nyama zao wanazochinja huko migombani unaweza ukavagaa mengine, unapitishiwa bakuli unawe yale maji hayamwagwi yanapelekwa kwa mtaalam sasa huko watachezea nyota, na hata hayo mambo ya kugawanya laana zao za koo,,,,,,,,,.......msinielewe vibaya sio wote, ila kuna ambao wana hayo mambo na wengi tamaa za mali ndo zinawapelekesha wanapata hizo laana halafu baadae yanakuja hayo mambo ya ku dilute, kama ni vifo basi visiwe vingi kwenye ukoo, maana makafara yao mengi yanaingiza laana kwenye koo
 
Wachaka nyi wandu waor'e heleri na nyi wandu waor'e maendeleo , iwa chasaka kila kindo nyi freemason tikiii ๐Ÿ™†
Waluichi ncha...Waamuo rera t'upu....Kila kyukecha wakundi shindana na Wachakka.
Warumu kapsa....
 
Duuh! Muda huu nipo msibani wakati wa msosi nitakula kona tu nishaogopa tayari ๐Ÿค”
 
kwa misiba ya wachaga lakini sio makabila mengine na wale wa malawi nasikia ndio wanamichezo hii
Na ndio nipo uchagani brother muda huu, soon session ya menu itaanza na marehemu ana mawe kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ