we ka mimi nimekomaaWakianza kupakua tu, unabeba zako koleo na jembe unatangulia makaburini, wao watakukuta baadae😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ka mimi nimekomaaWakianza kupakua tu, unabeba zako koleo na jembe unatangulia makaburini, wao watakukuta baadae😁😁😁
BIG UP saana bro kwa kutuzindua God bless you tuzo yako haitapoteakabila langu wakiambiwa ukweli huwa wanakasirika kweli. kuna mambo lazima tuanike, ili tuyaache, yapo mengi sana. hata suala kwamba wazazi wetu wa zamani walikuwa wanakeketwa (FGM) wengi mtabisha, dini za siku hizi na kuishi mijini ndio kumeokoa dada zetu.
Kwani nawe upo kwenye kamati ya ufundiHuo ni uongo.
Ni wa huko, nimeona misiba ya tokea bibi zangu, babu yangu, wazazi wangu hicho kitu hakipo.
Kwa kuwa umesema, hebu eleza ulikoona hicho kitu.
sasa hili nalo la kubisha kwamba wachaga hawa waliopo sasa watu wazima wenye miaka kuanzia 50 wote asilimia kubwa wamekeketwa? hujui hilo na si wachaga tu bali makabila yote ya kaskazini ndio kamchezo kao hakoUkweli upi labda huko nyumbani kwenu mkuu
ina maana misiba yote hiyo we ulikuwa ndo mpishi? huwa hawaweki chote ni kiasi tu ili usiweze ku-ditect chochote na kinatosha ukila kukupunguzia umri wakoHuo ni uongo.
Ni wa huko, nimeona misiba ya tokea bibi zangu, babu yangu, wazazi wangu hicho kitu hakipo.
Kwa kuwa umesema, hebu eleza ulikoona hicho kitu.
Aliyekuelewa atakuwa na mtindio kama weweina maana wote wameelewa umeshindwa wewe tu hapo bila shaka utakuwahuna kweli hizo D mbili
umeona kumbe kamanda na wewe ndio maana utakuta wengine wana roho ngumu ya kuua tu kumbe asli ni mabo hayaIla huo ukanda kuna baadhi ya familia/koo sio za kujichanganya nazo kabisa.......
Napajua vizuri huko,,wana ushirikina mwingi hasa wa nyota, makafara.....ule wa 12 pia ukivamia ovyo zile nyama zao wanazochinja huko migombani unaweza ukavagaa mengine, unapitishiwa bakuli unawe yale maji hayamwagwi yanapelekwa kwa mtaalam sasa huko watachezea nyota, na hata hayo mambo ya kugawanya laana zao za koo,,,,,,,,,.......msinielewe vibaya sio wote, ila kuna ambao wana hayo mambo na wengi tamaa za mali ndo zinawapelekesha wanapata hizo laana halafu baadae yanakuja hayo mambo ya ku dilute, kama ni vifo basi visiwe vingi kwenye ukoo, maana makafara yao mengi yanaingiza laana kwenye kooumeona kumbe kamanda na wewe ndio maana utakuta wengine wana roho ngumu ya kuua tu kumbe asli ni mabo haya
Waluichi ncha...Waamuo rera t'upu....Kila kyukecha wakundi shindana na Wachakka.Wachaka nyi wandu waor'e heleri na nyi wandu waor'e maendeleo , iwa chasaka kila kindo nyi freemason tikiii 🙆
we haya mambo yapo tu ni baadhi ya mila za kiafrika kama hawa wachaga we familia inakaa kikao kumuua mtu kisa mali yake wanamwambia bint yao amuue mumewe ili wadhulumu mali watashindwa kukuwekea kinyesi? hizi koo nyingine ni za kiuaji ukioa umejipeleka kwa izrailLisemwalo lipo...
kwa misiba ya wachaga lakini sio makabila mengine na wale wa malawi nasikia ndio wanamichezo hiiDuuh! Muda huu nipo msibani wakati wa msosi nitakula kona tu nishaogopa tayari 🤔
Na ndio nipo uchagani brother muda huu, soon session ya menu itaanza na marehemu ana mawe kweli.kwa misiba ya wachaga lakini sio makabila mengine na wale wa malawi nasikia ndio wanamichezo hii
Nyi mashindo wa mba're mba're lyekana nao mae.Waluichi ncha...Waamuo rera t'upu....Kila kyukecha wakundi shindana na Wachakka.
Warumu kapsa....
ruuun!!! run for your life jifanye unatoka unaongea na simu au unazunguka zunguka hatariNa ndio nipo uchagani brother muda huu, soon session ya menu itaanza na marehemu ana mawe kweli.