Ufafanuzi wanakunywa maji ya GSM hahaha kunyweni maji ya GSM kwenye mazoezi ili mtanue misuri, miili ya wachezaji wa yanga sc niya club na siyo ya wanawake, ama vinginevyoSimba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya jimya
Sasa kuna kahfa moya huko mitandaoni kuwa wachezaji waYanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku Caf wakiamua kuwaoima wachezaji imionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya nechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba ba Polo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Nadhani uongozi utoe tamko. Itakuwa vizuri zaidi kwa maoni yangu.Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya jimya
Sasa kuna kahfa moya huko mitandaoni kuwa wachezaji waYanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku Caf wakiamua kuwaoima wachezaji imionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya nechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba ba Polo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Hizi porojo azijaanza Leo na bahati mbaya zinatolewa na ziliwai kutolewa na wajinga wajinga ambao Awana ata ushahidi na walishindwa kutoa ata ushahidi, ubora wa yanga unaanzia kwa fitness coach anayefanya kazi yake vizuri, usidhani mpaka yanga kafika robo fainali klabu bingwa kucheza na timu zenye figisu Kila idara alafu washindwe kupima ivyo vitu, unapokuwa na timu ya UNGA UNGA mwana ndio utaleta porojo za kipuuzi Kama izoSimba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya jimya
Sasa kuna kahfa moya huko mitandaoni kuwa wachezaji waYanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku Caf wakiamua kuwaoima wachezaji imionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya nechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba ba Polo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Unazifahamu dawa za kuongeza nguvu zinazokatazwa michezoni?Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya jimya
Sasa kuna kahfa moya huko mitandaoni kuwa wachezaji waYanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku Caf wakiamua kuwaoima wachezaji imionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya nechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba ba Polo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Upo sahihi kabisa na ushahidi ni huu hapa chini, hapa Pacome akitumia hizo dawaSimba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya jimya
Sasa kuna kahfa moya huko mitandaoni kuwa wachezaji waYanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku Caf wakiamua kuwaoima wachezaji imionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya nechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba ba Polo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Wachezaji wao muda wote wana kata mauno kwenye migodiUpo sahihi kabisa na ushahidi ni huu hapa chini, hapa Pacome akitumia hizo dawa
Sio majini tena wala udhamini wa GSM ni madawa! Kwa hii Yanga mtanena kwa LughaSimba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha.
Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,
hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Tamko ni kuchukua makombe na kuwapiga kipigo cha mbwa koko hao wenye timu mbovuNadhani uongozi utoe tamko. Itakuwa vizuri zaidi kwa maoni yangu.
Mtumie na Ile ya Clatous Chama kabeba papuchi mabegani anapiga squats kabla ya mechi ya marudiano na Vital O.Upo sahihi kabisa na ushahidi ni huu hapa chini, hapa Pacome akitumia hizo dawa
Kumbe majini kwasasa hakuna ila kuna dawa za kuongeza nguvu hii sasa ni matokeo ya tabuleleTamko ni kuchukua makombe na kuwapiga kipigo cha mbwa koko hao wenye timu mbovu
Hongera kwa ubunifuSimba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua