Tetesi: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya

Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.

Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua

Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure

Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,

hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Kichwa cha habari kinaituhumu Yanga, habari yenyewe inamhusu Pogba.
 
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya

Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.

Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua

Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure

Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,

hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Kinachomuuma huyu jamaa ni kwamba Yanga imefunga Vitalo jumla ya goli kumi katika mechi mbili sawa na wsstani wa goli tano kila mechi. Anataka timu kufungwa goli tano na Yanga iwe hakimilki ya Makolo. Kaumia sana maana Bacuti aliwasifia mno. Ni mtu ambaye hapo alipo anaiombea Yanga mambo mabaya. Kuanzisha mjadala wa kijinga ni kipimo tosha cha jinsi alivyo. Sitashangaa kama yeye sio raia.
 
Bacuti akli ziko tumboni hajiekewi yule
 
Hizi porojo azijaanza Leo na bahati mbaya zinatolewa na ziliwai kutolewa na wajinga wajinga ambao Awana ata ushahidi na walishindwa kutoa ata ushahidi, ubora wa yanga unaanzia kwa fitness coach anayefanya kazi yake vizuri, usidhani mpaka yanga kafika robo fainali klabu bingwa kucheza na timu zenye figisu Kila idara alafu washindwe kupima ivyo vitu, unapokuwa na timu ya UNGA UNGA mwana ndio utaleta porojo za kipuuzi Kama izo
Unaondoa h: azijaanza; ziliwai; awana; ata; alafu; ivyo. Shule muhimu
 
Back
Top Bottom