Tetesi: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

Wewe puga tuliza makalio hayo
 
Bado hamjasema
 
Hata kwenye timu ya taifa bacca na job na mzize wanatumia dawa au mazoezi?
Manake wamekiwasha mwanzo mwisho
 
Je kwrnye michezo miwili ya timu ya taifa nako walidungwa hizo sindano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…