MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Wana jamvi... Kwa moto wanaopelekewa jeshi la russia kuna uwezekano mkubwa vijana wa Yevgeny Prigozhin wameamua kupigana bega kwa bega kulipiza kisasi cha kuuliwa boss wao, maana mpaka muda huu tunavyoongea russia bado ana hangaika kuisogelea kursk na ameshindwa kutokana na kipigo anachokutana nacho....rais Russia ambaye ndiye amir jeshi mkuu haamini kinachotokea. Jeshi la russia jana limesema jeshi la Ukraine limevinja madaraja yote wanayokutana nayo wakisonga mbele....
1.Je huu ndio wakati wa WAGNER kumalizia safar yao walio anzisha wakiwa na boss wao Yevgeny Prigozhin kuelekea MOSCOW?
2.Je huu ndio mwisho wa PUTIN?
3.Malalamiko ya Russia kuwa Ukraine anatumia silaha za western yana mashiko ikiwa yeye pia anatumia silaha kutoka IRAN, KOREA?
4.kwa malalamiko haya russia inakili kuwa silaha za korea, iran hazijasaidia chochote dhidi ya Ukraine?
5.Russia amekili adharani kuwa Ukraine anatumia silaha za western kuishambulia Russia.... Kwa mantiki hiyo silaha za western ni bora kuliko yeye?
[emoji724]Breaking news[emoji724]
Inasemekana RUSSIA baada ya kuona inaelemewa imeomba msaada CHECHNYA lakini bado ngoma ngumu kwa RUSSIA
UKRAINE imeteka dazani ya wanajeshi wa Chechnya
Link hii [emoji116][emoji116]