Tetesi: Inasemekana wagner group waamua kuisupport ukrane

Tetesi: Inasemekana wagner group waamua kuisupport ukrane

Haitakuwa mara ya kwanza China kushiriki vita za namna hii pale tu washirika wake muhimu na maslahi yake muhimu yatakapo kuwa hatarini.

China ili mtandika na kumrudisha marekani nyuma katika vita vya Korea bila China Korea kaskazini ilikuwa ina anguka rasmi.

Mpaka leo Korea kaskazini ipo kwa sababu ya China.
Rejea issue ya Taiwan. Utapata ufahamu.
 
Wana jamvi... Kwa moto wanaopelekewa jeshi la russia kuna uwezekano mkubwa vijana wa Yevgeny Prigozhin wameamua kupigana bega kwa bega kulipiza kisasi cha kuuliwa boss wao, maana mpaka muda huu tunavyoongea russia bado ana hangaika kuisogelea kursk na ameshindwa kutokana na kipigo anachokutana nacho....rais Russia ambaye ndiye amir jeshi mkuu haamini kinachotokea. Jeshi la russia jana limesema jeshi la Ukraine limevinja madaraja yote wanayokutana nayo wakisonga mbele....

1.Je huu ndio wakati wa WAGNER kumalizia safar yao walio anzisha wakiwa na boss wao Yevgeny Prigozhin kuelekea MOSCOW?

2.Je huu ndio mwisho wa PUTIN?

3.Malalamiko ya Russia kuwa Ukraine anatumia silaha za western yana mashiko ikiwa yeye pia anatumia silaha kutoka IRAN, KOREA?

4.kwa malalamiko haya russia inakili kuwa silaha za korea, iran hazijasaidia chochote dhidi ya Ukraine?

5.Russia amekili adharani kuwa Ukraine anatumia silaha za western kuishambulia Russia.... Kwa mantiki hiyo silaha za western ni bora kuliko yeye?

[emoji724]Breaking news[emoji724]
Inasemekana RUSSIA baada ya kuona inaelemewa imeomba msaada CHECHNYA lakini bado ngoma ngumu kwa RUSSIA

UKRAINE imeteka dazani ya wanajeshi wa Chechnya
Link hii [emoji116][emoji116]
Tetesi: inasemekana😁😁😁😁
 
Hujui kitu, kapigwe mswaki ubongo wako,,!!

Mkuu wa Wagner na mmiliki halisi ni Mh. Rais Putin..!!

Sbb hujui kitu, kichwa unafugia nywele tu
Hili jibu ni sahihi kabisa na Lina maarifa makubwa mno.
 
Ukraine ndio inashindwa vita. Kujaribu kushikilia miji ya Russia ndio kete yake ya mwisho hiyo maana wachambuzi wa vita wanasema endapo mpango huo wa Ukraine utafeli basi kuna uwezekano wa Ukraine ika-surrender sababu kwanza Russia itayachukua maeneo yote yaliyopakana na Kursk na belgorod na kutengeneza buffer zone ili kuizuia Ukraine kurudia kujipenyeza tena.

Wakati huo huo Russia inaendelea kujitwalia maeneo zaidi ya Ukraine na mapambano yanaendelea.

Kursk ina ukubwa wa 29800km². Ukraine wanajeshi wa kulikalia eneo hilo wakati huo huo aendelee kupigana nchini mwake. Russia imeshapeleka wanajeshi Kursk na operation inaendelea taratibu hadi kazi ikamilike.
Nakukumbusha TU Ukraine anazidi kusonga mbele
 
Usisahau Kuna china,Korea ya kaskazini,Iran,Syria,Algeria, Yemen, Vietnam na marafiki wengine wa Urusi wataibuka mara baada ya Hali kua kama unavyosema.
Syria imeshachoka na vita, Algeria hamna kitu hapo Yemen hiyo ishakufa wamebako bokoharamu tu huko lbd kidogo iran
 
Wagner walishakula kiapo cha utii.
Nakukumbusha Wagner Hawa Hawa walifunga safar kuelekea Moscow kumtoa Putin...Putin alikuwa anampigia
Yevgeny Prigozhin ili asitishe safar yake ya Moscow lakin alikataa kupokea kosa kiwepo kwa Aleksandr Lukashenko saa hizi ingekuwa Putin tunamsoma kwenye vitabu[emoji1787]
 
Vita ni mbinu kila hatua inakuwa calculated. Kinachofanya counter offensive za Ukraine zifeli ni kwa sababu Ukraine inatafuta matokeo ya mapema ili kuwaaminisha west kuwa wanapiga kweli ndio maana taarifa nyingi za field wanazificha. Ukraine inasema Russia imeishambilia Kiev kwa ballist 2 na drone 30 na wamefanikiwa kuziangusha drone zote ila hawasemi kuhusu missiles, au drone 28 kati ya 30 zimeangushwa ila hawasemi drone mbili zimefanya nini. Kwahiyo habari za Ukraine sio za kuziamini sana.
Kwa muono wako wewe mchambuzi wa tandale kwa Ali maua[emoji1787]
 
Back
Top Bottom