Tetesi: Inasemekana wagner group waamua kuisupport ukrane

Dah aisee ila Urusi ni kiboko aisee!
Mie sikuwahi kujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.
Yaani mnawaza Kila aina ya kuunganisha nguvu ili kuishinda Urusi moja.
Si tulikubaliana kua USA ndio super power?
Leo Tena USA na NATO hawajatosha wanataka kuungana na Wagner.?
Hii inaonesha ni jinsi Gani Urusi Ina nguvu kubwa.
 
Ni kweli kabisa kwamba Urusi Ina nguvu zaidi ukilinganisha na nguvu walizonazo nchi majirani zake ambazo nyingi ya nchi hizo zilikuwa sehemu ya nchi ya Urusi ya zamani au Umoja wa Kisovieti ya Urusi (USSR). Kwa Sasa, ili kuendelea kuipunguzia nguvu zaidi nchi hiyo ya Urusi njia pekee iliyo Bora zaidi ni hizo nchi jirani na mahasimu wa Urusi waungane na washirika wao wa Magharibi ili waweze kuendelea kuivunja-vunja nchi hiyo ya Urusi. Waihujumu Urusi ili majimbo mengi zaidi ya Urusi yaweze kujitenga na kuanzisha nchi zao zingine zinazojitegemea, hii itasaidia Sana kuisambaratisha Urusi na kudhoofisha nguvu zake za kijeshi na hatimaye nchi hiyo ya Urusi itashindwa kabisa kuanzisha Tena chokochoko za Vita dhidi ya majirani zake.
 
Anatakatisha chupi nyeupe kwa maji ya mtaro wa choonj
 
Anatakatisha chupi nyeupe kwa maji ya mtaro wa choonj
Russia mweupe tu ukrane siku ya ngap leo kateka mji russia, russia bado anapambana kurudisha [emoji23]
 
Unayo Internet access alafu unauliza maswali nenda ChatGPT ukaulize kwa artificial intelligence
Punguza hasira ukubwa wa pua sio wengi wa makamasi.... Russia anapigika huko[emoji23]
 
Ndo amzuie ukrane asisonge mbele
 
 
Anatakatisha chupi nyeupe kwa maji ya mtaro wa choonj
Ukimaliza kujamba soma hapa russia wenyewe wanakili wamestukizwa😂

 
Hujajibu swali acha kutatalika kama mahindi kwenye moto.... Kushambuliwa au kuharibika kwa chombo chochote kwenye mapigano sio hoja ya msingi hakuna sehemu ukrane analalamika kuwa anashambuliwa sana kwa sababu Russia anatumia silaha za iran au n. Korea lakini tunaona kiongozi wa inchi bwana putin analalamika ukrane inasonga mbele kwa sababu inatumia silaha za western hiyo ndo hoja.... Ishu ya kuharibika vifaa hiyo sio ishu ukrane anatungua mpaka mandege ya kimkakati kama b52 hajawahi kulalamika.... 🤣🤣🤣
 


Unapaswa kufahamu uhusiano uliopo kati ya China na Korea kaskazini na Russia.

Kabla ya uvamizi wa Ukraine February 2022 Putin alikutana na Xi Jinping Beijing China.
 
Suala la Taiwan halijapuuziwa lina muda wake.

Mataifa makubwa hayaendeshi mambo yao vile wewe utakavyo wafanye.

China, Korea kaskazini, Urusi, Iran wana uhusiano wa karibu sana.
 
Tetesi mpaka anaipata Jasusi MT255 Sijui kama Mbowe na Netanyahu wanaifahamu. 🤣🤣🤣🤣🤣

Aliyeanzisha uzi huu amezoea kuangalia Movies za Expendable
 
Suala la Taiwan halijapuuziwa lina muda wake.

Mataifa makubwa hayaendeshi mambo yao vile wewe utakavyo wafanye.

China, Korea kaskazini, Urusi, Iran wana uhusiano wa karibu sana.
Uhusiano wa karibu upo, ila kwenye ishu za vita endeleeni kuwategemea China kwamba wataingia
 
Uhusiano wa karibu upo, ila kwenye ishu za vita endeleeni kuwategemea China kwamba wataingia
Haitakuwa mara ya kwanza China kushiriki vita za namna hii pale tu washirika wake muhimu na maslahi yake muhimu yatakapo kuwa hatarini.

China ili mtandika na kumrudisha marekani nyuma katika vita vya Korea bila China Korea kaskazini ilikuwa ina anguka rasmi.

Mpaka leo Korea kaskazini ipo kwa sababu ya China.
 
Usisahau Kuna china,Korea ya kaskazini,Iran,Syria,Algeria, Yemen, Vietnam na marafiki wengine wa Urusi wataibuka mara baada ya Hali kua kama unavyosema.
Ha ha ha unaota wewe.
 
Hilo ulosema ni la kwanza, la pili; China anahofia akijiingiza tu kwa Russia, Taiwan itajiinua zaidi, na hapo bado China ana maadui wengi sana wamemzunguka.
 


Hujui kitu, kapigwe mswaki ubongo wako,,!!

Mkuu wa Wagner na mmiliki halisi ni Mh. Rais Putin..!!

Sbb hujui kitu, kichwa unafugia nywele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…