Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Wakenya bado wanajua watanzania tunaendelea na ule usingizi wa mlima Kilimanjaro uko Kenya.Hii syo Tanzania ile tena...
 
Ndio maana nimesema Serikali iache kuwachekea hao mbwa,iingize jeshi iwavunjilie mbali..Wametolewa Kenya wamekuja huku..

Vunja hao miguu wakiwa mizoga hawatarudia huo upuuzi waoufanya..
 
Mkuu, endapo imetokea mke pale akiwa mjamzito kila siku akawa anamwambia mumewe kuwa anamckukia sana jirani yake mpika chipsi. Na mtoto alipozaliwa akatokea kufanana mno na jirani yake, basi hapo pasipo na shaka pana mgogoro wa kimaslahi.
 
Haki ipi ikiwa nyinyi wenyewe mna kiazi chenu upande wa Nkararo, pia huko mpaka wa Ethiopia na upande Kakuma..
 
Siri zao wanazijua wao.

Bottom Line, kwa sheria ya Tanzania, serikali inaweza mwamishwa mtu yoyote, mahali poppte, kwa manufaa ya taifa.
mkuu ni manufaa gani nchi inakosa kwa uwepo wa hao wamasai ngorongoro?
 
Vyombo vya habari vina mbinu nyingi ya kupata habari wanayo itaka,hapa Nchini vyombo vingi vya habari vimebanwa,hivyo Aljazeera wakaamua kutumia mbinu kupata maoni.
Lakini pia Wananchi wa Kenya Wanayo haki ya kutoa maoni yao kuhusu Nchi Jirani Kama Vile na sisi tunavyojadili uchaguzi wa kwao..
Barabara ya Arusha Musoma inapita katikati ya Hifadhi ya Taifa Serengeti ndio maana wadau wa UHIFADHI walilalamikia Duniani pote,inavyoonekana hujui hata Jiografia ya Nchi yako..Bomba la Mafuta kutoka Uganda Hadi Tanga haipiti popote kwenye Hifadhi ya Taifa.
 
Ndio maana nimesema Serikali iache kuwachekea hao mbwa,iingize jeshi iwavunjilie mbali..Wametolewa Kenya wamekuja huku..

Vunja hao miguu wakiwa mizoga hawatarudia huo upuuzi waoufanya..
Wewe ni taahira

Hujui Chochote kuhusiana na jeshi la nchi yako.
 
Wamekuwa tishio kwa hifadhi na mbuga zetu, wamekuwa wengi kupita idadi, wamekuwa na mifugo mingi kupita idadi, wasipoondolewa sasa wanyama wataisha, maana sasa wanapigania malisho na wanyama.
Waondoshwe kwa gharama yeyote
 
Hawa ni kuwapiga marufuku tu tz, ni wasumbufu sana hapa nchini.
 
Wamasai ndio kabila linaongoza kwa kutowa rushwa Tanzania.

Mkulima hana haki mbele ya mmasai, waulizeni watu wa Morogoro hasa Kilosa ndio watawaambia Wamasai ni watu gani.
 
Kiongozi wa nyumba akiwa goigoi, hata majirani zake humsonta kidole. Kwani sterling anajali?.
 
Wamasai ndio kabila linaongoza kwa kutowa rushwa Tanzania.

Mkulima hana haki mbele ya mmasai, waulizeni watu wa Morogoro hasa Kilosa ndio watawaambia Wamasai ni watu gani.
Hao mbwa ni kuwaangalia sana, natamani waondolewe kabisa tz watu wa hovyo sana.
 
Na sasa unakuta manguchiro kama Zitto zitto junior Tindo etc wanamponda JPM!!!
 
Hivi wewe unaweza ukaiamini serikali ya ccm,iliyosema JPM yupo ofcn anachapa kazi,kumbe ameishakufa?
Swala la Loliondo halijaanza jana,Mwinyi alikodisha Hilo eneo miaka ya 90,na sasa hv serikali inafanya ujambazi wa kukodisha Eneo kwa wawindaji wa Kiarabu,Cha kujiuliza Hilo wanalolisema Kenya,linafanyika huko ngorongoro,au wamasai wa ngorongoro wanakula bata na maisha ni mazuri kama wanaishi masaki.
Sijawahi kuwaamini ccm,kama Kuna propaganda inaendelea huko ngorongoro,ilikuwaje askari mmoja akauliwa kwenye fujo
 
Wamasai ndio kabila linaongoza kwa kutowa rushwa Tanzania.

Mkulima hana haki mbele ya mmasai, waulizeni watu wa Morogoro hasa Kilosa ndio watawaambia Wamasai ni watu gani.
Nawajua vizuri sana, Ng'ombe wao ndo kinga yao.

Waliaminishwa kama wao ni special group, ndio maana kila sehemu wanaleta fujo, muda umefika wajihisi wao ni kama sisi tu, na sheria za nchi ziheshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…