Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hoja ipi? Masai lazima waondoke, kuna hoja ipi zaidi ya hiyo? Hao Kunyaland watavunjwa mbavu waheuke mizoga.Jibu hoja
Kwanini kila anayetetea wananchi huwa mnakimbilia kusema ni mamluki au katumwa na mabeberu? je, ni haki kwa serikali kuwaumiza wananchi wake kisa tu inataka pesa (ambazo watafaidi viongozi wachache) za mwekezaji?Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?
Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?
Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV
Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?
Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?
Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.
Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.
Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.
Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.
Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.
Video Nimeambatanisha
Huyo jpm kama ni kumsifu msifu kimpango wako. Huwa sisifii walevi wa madaraka kwa namna yoyote ile.
Tanzania inaandamwa kwa mambo mengi sana kwa interest za kisiasa....Maadui nao wanatumia mwanya huo kujifaidisha maana wanajua mitanzania ni mijinga issue na haijui umuhimu wa kusimama na serikali yao kwenye baadhi ya issues.....Wanasiasa wa Tanzania nao kwa maslahi ya kisiasa bila wao kujua wanafaidisha majirani maadui..
Kupuuzia hizo siri ndio kuliangamiza taifa, hakuna kufanya hivyo.Siri zao wanazijua wao.
Bottom Line, kwa sheria ya Tanzania, serikali inaweza mwamishwa mtu yoyote, mahali poppte, kwa manufaa ya taifa.
Hata sijaelewa ulichoandika.Haki ipi ikiwa nyinyi wenyewe mna kiazi chenu upande wa Nkararo, pia huko mpaka wa Ethiopia na upande Kakuma..
Kama una ushahidi wa rushwa wanazotoa wamasai kwanini huwapeleki mahakamani?Wamasai ndio kabila linaongoza kwa kutowa rushwa Tanzania.
Mkulima hana haki mbele ya mmasai, waulizeni watu wa Morogoro hasa Kilosa ndio watawaambia Wamasai ni watu gani.
Tena mmasai wa Kenya. Mimi nashauri serikali iendelee na oparation zake hadi pale mabwanyenye ya Kenya na haya ma puppet yao yaliopo nchini yarudi yalipotoka.Wewe Itakuwa mmasai
Jiwe limepigwa gizani
Ukisikia ohoooo ujue limekupata
Mbona watu walihamishwa kimara kupisha barabara?
Ardhi ni ya serikali Wataishi hapo kwa kuzaliana mpaka lini?
Ecosystem ya Loliondo inavuka mpaka Kenya, ni moja, ni kama ilivyo ecosystem ya Serengeti/Masai Mara au Mkomazi na Tsavo kwa upande wa Same/Taita Taveta. Athari za upande mmoja zinavuka mpaka upande mwingineTaarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?
Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?
Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV
Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?
Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?
Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.
Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.
Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.
Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.
Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.
Video Nimeambatanisha
Wamasai waliamishwa serengeti na kupelekwa Ngorongoro kuinasua Mbuga ya Serengeti kwa manufaa ya taifa mwaka 1959, vivyo hivyo sasa wanaamishwa Ngorongoro kwenda handeni kunusuru Ngorongoro kwa manufaa ya taifa. Manufaa gani, kama huelewi, basi hutonielewa. Manufaa ya taifa ya Serengeti na Ngorongoro yanajulikana, yapo wazi kabisa.Kupuuzia hizo siri ndio kuliangamiza taifa, hakuna kufanya hivyo.
"Manufaa ya taifa" sio "manufaa ya watu wachache" lazima ujue kutofautisha hapo.
Interest za Kenya ni mbuga za kaskazini mwa Tanzania ambako ndo moyo wa utalii na mapato makubwa yanayotokana na utalii zinakufa kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu hivyo wanyama kukimbilia Kenya na watalii kuacha kuja Tanzania na kwenda KenyaTaarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?
Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?
Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV
Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?
Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?
Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.
Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.
Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.
Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.
Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.
Video Nimeambatanisha
Umewahi kumsikia Mkenya gani anahangaika kuongea kiingereza ? Hao wote wanaoongea ni watanzania usiwasingizie wakenya Kwa weakness za nchi yako
Serekali hii hii ya majizi ya kura ndio watu wasimame nayo? Ukitaka kuungwa mkono ingia madarakani kwa njia halali, kinyume na hapo pambana na hali yako.