Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Bavicha imejaa wapumbavu sana! Ni hatari kuwa na mwanasiasa asielewa maana ya national Interest
 
Waziri mkuu si alisema hali ni shwari na RC anatangaza kuuliwa kwa askari huku akiacha kutaja wananchi waliojeruhiwa mpaka hapa nikidhibitisho kuwa hakuna utetezi dhidi ya raia bali ni maslahi binafsi yamepewa kipaumbele!
Mambo ya hovyo kabisa, wanatangaza askari kufa kwa mshale, lakini picha za maasai majeruhi hawazikubali,
Tunaambiwa hali ni shwari kabisa.

Msemaji wa Serikali anapongeza vyombo vya habari kutotoa taarifa,

Je ni taarifa zipi zinazofichwa?
 

Ukitaka hiyo image ya nchi ibaki heshimu uchaguzi, kinyume na hapo hayo unayotaka ni bure tu.
 
Ndio maana nimesema Serikali iache kuwachekea hao mbwa,iingize jeshi iwavunjilie mbali..Wametolewa Kenya wamekuja huku..

Vunja hao miguu wakiwa mizoga hawatarudia huo upuuzi waoufanya..
We chawa, hiki ulichokiandika hapa umekosa hekima,
Kuna siku kinaweza kukurudia wewe au familia yako,
Binadamu hawezi kuwa mbwa, hata akifa haitwi mzoga,
Acha kiburi cha uzima, maisha hubadilika,
 
Una taarifa kuwa wanyama waliopo ktk mbuga zetu mf Nyumbu husafiri Kwa makundi wakiwa na mimba Kutoka Serengeti kwenda ktk mbuga za Kenya na kurudi tena baada ya kuzaa?

Hujui kuwa Masai wapo wa Kenya na WA TANZANIA.

Kenya ni wadau pia ktk hili la Utalii.

Hoja ni kwann Serikali itumie nguvu kupitiliza Kwa WAMASAI wanaomiliki ardhi kisheria na KESI ikiwa MAHAKAMANI? Ni utawala wa Sheria?

Hujui kuwa hiyo Roliondo mbuga inaendelea mpakani? Wanyama huenda huko na kurudi, Hujui kuwa Kenya Wana mbuga pia upande wa pili wa Arusha?

Wananchi wakidhurika mnawabadili uraia wanakuwa wakenya?
 
Kunyaland hawawezi kupiga mayowe kama maslahi yao hayajaguswa, kama wakenya wanatumia huo uwanda kunenepesha mifugo yao ni muda mwafaka hii janja yao ikafika mwisho.
 
Kuna Mkenya anashirikiana na wazungu uko Germany anaendesha kampeni dhidi ya Bomba la Mafuta, yuko na kidada kimoja kinaitwa Lasota kutoka Ukraine wanajiita wanaharakati wanapinga ujenzi wa Bomba la shell mpaka Tanga, wamemshawishi Macron ameshawishika na baadhi ya mabenki eti mradi utaaribu mazingira.
 
Kuna Mtanzania mwenye lafudhi hii hapa kwenye video??
Your browser is not able to display this video.
 
We chawa, hiki ulichokiandika hapa umekosa hekima,
Kuna siku kinaweza kukurudia wewe au familia yako,
Binadamu hawezi kuwa mbwa, hata akifa haitwi mzoga,
Acha kiburi cha uzima, maisha hubadilika,
Kinirudie mimi kwani nashindana na Serikali? Mimi ni mkunya wa ngorongoro?

Wafyekwe hadi adabu zije hakuna akucheka na ngedere
 
Well presented don-mike
 
Hakuna nchi jirani isiyokuwa na maslahi na jirani yake. Watakuwa wajinga kama wewe wasipoona kuwa wana maslahi na Tanzania.
 
Wamasai ndio kabila linaongoza kwa kutowa rushwa Tanzania.

Mkulima hana haki mbele ya mmasai, waulizeni watu wa Morogoro hasa Kilosa ndio watawaambia Wamasai ni watu gani.
Mi nimeexprience hii kitu toka shambani kwa dada yangu, Mmasai aliingiza ng'ombe wakala mazao halafu akaenda kumhonga mwenyekiti na mtendaji, Hatukuangalia Mwenyekiti wala mtendaji Masai alilipa, alilipa na kukoma.
 
Mtanzania yupi atanyanyua mdomo abaki salama, kama aliyechukua video mnamsaka.. vipi atakayezungumza na vyombo habari..

Acha dunia iwasemee.
 
Uzuri ni kwamba wamasai ambao hawajaenda shule wanajua kinachoendelea kuliko wengi wenu humu. Wengi wenu hapa mnakurupuka sana. Yaani hamjui hata ni wapi wanatakuwa kuhama, hamjui NCA ni wapi wala Loliondo ni wapi? Hamjui tofauti ya Loliondo na NCA. Hamjui tofauti ya mgogoro wa Loliondo na mgogoro wa NCA.
Mnakurupuka tu.
 
Wakenya wanapenda wamasai waijaze ngorongoro ili ngorongoro ife, wanyama wakimbilie kwao. utalii utahamia kwao in the long run.
 
KAZI IPO


Your browser is not able to display this video.
 
Nchi ina watu wajinga sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…