Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Bavicha imejaa wapumbavu sana! Ni hatari kuwa na mwanasiasa asielewa maana ya national Interestimage ya nchi inapoharibika kwako wewe ni sawa tu kwasababu ya tofauti za kisiasa, kesho waKenya wakitaka kuchukua Mlima kilimanjaro kwako ni sawa tu.... Uganda wakivamia Bukoba kwako ni sawa tu...
Kuna wakati tujifunze kutofautisha siasa zetu hizi na mambo ya msingi yanayogusu Taifa letu kama Watanzania na yatakayoacha shida kwa vizazi na vizazi...hata hao unaoamini wanaibiwa kura infuture wakishika dola watapambana na hizo athari..
Wakenya wanatumia akili kama hizi kuhakikisha hizo Mbuga zinakufa na biashara inabidi kwao, unafikiri hapa athari ni kwa hawa unao waita majizi tu?